Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Toeni somo humu tuelewe hili chaka.Plus Qubes Os au Whoinix Os au Tails Os
Hapo hata wamtafute FBI watambwela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toeni somo humu tuelewe hili chaka.Plus Qubes Os au Whoinix Os au Tails Os
Hapo hata wamtafute FBI watambwela
Ilianza kidogo kidogo kabla ya kufikiwa gazeti la mbunge wa Ubungo Kubenea, yakafuatia mazuio ya UKUTA baadhi yetu tukabeza. Ikaja Lema wengine wakasema ni mkorofi na sasa ni Maxence, ni nani atafuata ...who'll be next!?
Kwa hiyo mawazo huru yasiwepo au wanataka sote tuwe kama wa redio ya wafu!
Kulikuwa na ulazima gani wa kumkamata na kumnyima dhamana mtu ambaye mamlaka ikimhitaji atakwenda mwenyewe? Ni bahati mbaya kubwa inayojitokeza kuwa mahabusu kunatumiwa kukomoa baadhi ya makundi kinyume cha matumizi ya mahabusu ambayo yalikuwa ni mahali pa kuhifadhia wachache walio na madhara kwa jamii au wale ambao watakuwa huru watakuwa na athari au kuathiriwa na jamii.
Ni muendelezo wa mikomoano kama hii ambapo mahabusu na magereza zinaendelea kujaa watu pomoni wasio na hatia bali waliowekwa huko kwa ajili ya kukomolewa.
Pole zenu bwana Melo, poleni Lema, na poleni wapigania haki wote mnaoathirika na matumizi mabovu ya madaraka tunayoyaona kila uchwao wakati ambao wangekuwa huko wakiendelea kudunda mtaani Kijecha jecha.
Si mzima viroba nomawe jamaa sijui vp huwa unaropoka ropoka tu ovyo hata hujielewi unaongea nin? sasa accaunt ndio nin iko?
nadhani litakuwa ndilo tatzo lake kuu.Si mzima viroba noma
Yaani wewe kila kitu kuhusu serikali unajidai kutetea, Huna busara yeyote!- Guys mngekuwa mnatumia busara kabla ya kuandika huenda Max angekuwa ameshatoka lakini maandiko kama haya serisouly unaamini yanaweza kumsaidia Max kuachiwa? I mean mimi toka jana nimejitahidi sana kufuatilia hii kesi Max is my friend na leo nimeenda tena mpaka kwa Mkuu wa Polisi, again mnachokiandika huku na kinachoendelea mbona havifanani?
- Max aliwahi Kukamatwa huko nyuma enzi hizo hapa tulikuwa watuwazima wengi sana wala ile ishu haikuguswa hapa na wala haikuwa tatizo kumtoa, now kwa maneno kama haya ambayo mnaandika bila hata kupima mnachokiandika bila hata ukweli tunamsaidiaje ndugu yetu, guys please think before you write kama kweli unachoandika kina mantinki, Freedom of Speech inatakiwa kuambatana na responsibility, kama unajiamini unachoandika ni the TRUTH then huna sababu ya kumuogopa mtu, please punguzeni kuandika bila responsibility
- Zamani sisi tulikuwa tunaandika worse kuliko siku hizi mnavyoandika lakini hatukuwa tunasumbuliwa cause tulikuwa kwenye mstari na tunachoandika na it was so Truthfully hata wahusika walikuwa hawana jinsi ila kutuacha tu, lakini siku hizi watu wanaandika hapa kama wamekunywa mapombe I mean Freedom of Speech inatakiwa kuambatana na Responsibility!!
le Mutuz
Tena wanatia kinyaa mpaka wananuka..... nktHawa polisi wa Tanzania vichwa panzi kweli
badala ya kuwatumia hao waliotoa hzo tuhuma ili waweze kujua mbichi na mbivu eti wanawataka ila wawaweke ndani. Kinachofichwa hapa ni nn...kwani nani hajui kuwa bandarini kulikuwa/kuna wizi mkubwa wa mafuta na jeshi la polisi ndo vinara wa wizi huo.
Kwani ni uongo kuwa hamna mega tax evasion in Tanzania nani hajui hilo. Mfanyabiashara Mjanja
hapa Tanzania ni yule ni yule ambaye ni kinara wa kukwepa kodi nani hajui hilo.
Kwani ni uongo kuwa office za umma zinanuka kwa rushwa?? Mukulu kila siku haliongelei hilo??
Polisi wa Tanzania fanyeni Kazi za kulinda RAIA na Mali zao acheni kutumika mnatia kinyaa.
Inawezekana wakaziblock ila nnasikia kuna the other way around unaweza kuziaccessTanzania haina ubavu wa kuzuia social networks kubwa kama facebook, China, Northen Korea, Vietnam, Syria, Iran na wababe wengine ndiyo wameweza. Kwa kifupi Tz haina jeuri hiyo.
Yaani wewe kila kitu kuhusu serikali unajidai kutetea, Huna busara yeyote!
Max hahitaji fadhila kutoka upande wowote ule ili apate haki yake. Sheria za Tanzania ziko wazi.
Wacha watu waandike ya moyoni. Haki haiombwi, huwa inadaiwa, its a matter of time.
Kwa taarifa nilizonazo, ilikuwa apelekwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Ilala leo saa 3 asubuhi, lakini mpaka saa 6 mchana alikuwa bado yupo katika kituo cha polisi cha Kati. Wenye taarifa mpya watujuze tafadhali.Mahakamani saa ngap?!nataka kwenda huko