Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Hawa polisi wa Tanzania vichwa panzi kweli

badala ya kuwatumia hao waliotoa hzo tuhuma ili waweze kujua mbichi na mbivu eti wanawataka ila wawaweke ndani. Kinachofichwa hapa ni nn...kwani nani hajui kuwa bandarini kulikuwa/kuna wizi mkubwa wa mafuta na jeshi la polisi ndo vinara wa wizi huo.

Kwani ni uongo kuwa hamna mega tax evasion in Tanzania nani hajui hilo. Mfanyabiashara Mjanja
hapa Tanzania ni yule ni yule ambaye ni kinara wa kukwepa kodi nani hajui hilo.

Kwani ni uongo kuwa office za umma zinanuka kwa rushwa?? Mukulu kila siku haliongelei hilo??

Polisi wa Tanzania fanyeni Kazi za kulinda RAIA na Mali zao acheni kutumika mnatia kinyaa.
 
Ilianza kidogo kidogo kabla ya kufikiwa gazeti la mbunge wa Ubungo Kubenea, yakafuatia mazuio ya UKUTA baadhi yetu tukabeza. Ikaja Lema wengine wakasema ni mkorofi na sasa ni Maxence, ni nani atafuata ...who'll be next!?
Kwa hiyo mawazo huru yasiwepo au wanataka sote tuwe kama wa redio ya wafu!
Kulikuwa na ulazima gani wa kumkamata na kumnyima dhamana mtu ambaye mamlaka ikimhitaji atakwenda mwenyewe? Ni bahati mbaya kubwa inayojitokeza kuwa mahabusu kunatumiwa kukomoa baadhi ya makundi kinyume cha matumizi ya mahabusu ambayo yalikuwa ni mahali pa kuhifadhia wachache walio na madhara kwa jamii au wale ambao watakuwa huru watakuwa na athari au kuathiriwa na jamii.

Ni muendelezo wa mikomoano kama hii ambapo mahabusu na magereza zinaendelea kujaa watu pomoni wasio na hatia bali waliowekwa huko kwa ajili ya kukomolewa.

Pole zenu bwana Melo, poleni Lema, na poleni wapigania haki wote mnaoathirika na matumizi mabovu ya madaraka tunayoyaona kila uchwao wakati ambao wangekuwa huko wakiendelea kudunda mtaani Kijecha jecha.

- Guys mngekuwa mnatumia busara kabla ya kuandika huenda Max angekuwa ameshatoka lakini maandiko kama haya serisouly unaamini yanaweza kumsaidia Max kuachiwa? I mean mimi toka jana nimejitahidi sana kufuatilia hii kesi Max is my friend na leo nimeenda tena mpaka kwa Mkuu wa Polisi, again mnachokiandika huku na kinachoendelea mbona havifanani?

- Max aliwahi Kukamatwa huko nyuma enzi hizo hapa tulikuwa watuwazima wengi sana wala ile ishu haikuguswa hapa na wala haikuwa tatizo kumtoa, now kwa maneno kama haya ambayo mnaandika bila hata kupima mnachokiandika bila hata ukweli tunamsaidiaje ndugu yetu, guys please think before you write kama kweli unachoandika kina mantinki, Freedom of Speech inatakiwa kuambatana na responsibility, kama unajiamini unachoandika ni the TRUTH then huna sababu ya kumuogopa mtu, please punguzeni kuandika bila responsibility

- Zamani sisi tulikuwa tunaandika worse kuliko siku hizi mnavyoandika lakini hatukuwa tunasumbuliwa cause tulikuwa kwenye mstari na tunachoandika na it was so Truthfully hata wahusika walikuwa hawana jinsi ila kutuacha tu, lakini siku hizi watu wanaandika hapa kama wamekunywa mapombe I mean Freedom of Speech inatakiwa kuambatana na Responsibility!!

le Mutuz
 
Umefika wakati wa kuhama nchi tukadai uhuru tukiwa nje,japo pawe na freedom of speech, hii nchi si huru tena.
 
Freedom is not free... ila si rahisi kuzifunga mdomo fikra pevu... nchi imegeuka gari bovu bado mfumo wa mabavu na uonevu unawaminya welevu uhuru wa kutumbua maovu but still panapo ukweli tutatoa makavu live
 
Kuna sababu za kuendelea kuona utawa wa JK pamoja na madhaifu yake ulikuwa bora zaidi ya utawala huu

JK alifanikiwa kumfanya huyu angae kwa kumpa fund kwenye Wizara ya miundo Mbinu na Ujenzi lakin so far mimi kwa kweli sioni wapi tunaelekea zaidi ya kuwaona walioko kwa serikali mpaka wananchi wnalalamika

Sasa hivi ndio tumeanza kutishana sasa

WhatsApp walipoombwa data na CIA and FBI walipowanyima watumiaji wa Whatsapp waliongezeka pia wakaintuduce security code system ambayo imeifanya whatsapp kutumika kama official communication m edia kwenye baadhi ya Taasisi

Chochote kitachofanyika hapa kitakuwa na madhara hasi au chanya ya jamii frum..................
 
- Guys mngekuwa mnatumia busara kabla ya kuandika huenda Max angekuwa ameshatoka lakini maandiko kama haya serisouly unaamini yanaweza kumsaidia Max kuachiwa? I mean mimi toka jana nimejitahidi sana kufuatilia hii kesi Max is my friend na leo nimeenda tena mpaka kwa Mkuu wa Polisi, again mnachokiandika huku na kinachoendelea mbona havifanani?

- Max aliwahi Kukamatwa huko nyuma enzi hizo hapa tulikuwa watuwazima wengi sana wala ile ishu haikuguswa hapa na wala haikuwa tatizo kumtoa, now kwa maneno kama haya ambayo mnaandika bila hata kupima mnachokiandika bila hata ukweli tunamsaidiaje ndugu yetu, guys please think before you write kama kweli unachoandika kina mantinki, Freedom of Speech inatakiwa kuambatana na responsibility, kama unajiamini unachoandika ni the TRUTH then huna sababu ya kumuogopa mtu, please punguzeni kuandika bila responsibility

- Zamani sisi tulikuwa tunaandika worse kuliko siku hizi mnavyoandika lakini hatukuwa tunasumbuliwa cause tulikuwa kwenye mstari na tunachoandika na it was so Truthfully hata wahusika walikuwa hawana jinsi ila kutuacha tu, lakini siku hizi watu wanaandika hapa kama wamekunywa mapombe I mean Freedom of Speech inatakiwa kuambatana na Responsibility!!

le Mutuz
Yaani wewe kila kitu kuhusu serikali unajidai kutetea, Huna busara yeyote!

Max hahitaji fadhila kutoka upande wowote ule ili apate haki yake. Sheria za Tanzania ziko wazi.

Wacha watu waandike ya moyoni. Haki haiombwi, huwa inadaiwa, its a matter of time.
 
Hawa polisi wa Tanzania vichwa panzi kweli

badala ya kuwatumia hao waliotoa hzo tuhuma ili waweze kujua mbichi na mbivu eti wanawataka ila wawaweke ndani. Kinachofichwa hapa ni nn...kwani nani hajui kuwa bandarini kulikuwa/kuna wizi mkubwa wa mafuta na jeshi la polisi ndo vinara wa wizi huo.

Kwani ni uongo kuwa hamna mega tax evasion in Tanzania nani hajui hilo. Mfanyabiashara Mjanja
hapa Tanzania ni yule ni yule ambaye ni kinara wa kukwepa kodi nani hajui hilo.

Kwani ni uongo kuwa office za umma zinanuka kwa rushwa?? Mukulu kila siku haliongelei hilo??

Polisi wa Tanzania fanyeni Kazi za kulinda RAIA na Mali zao acheni kutumika mnatia kinyaa.
Tena wanatia kinyaa mpaka wananuka..... nkt
 
...kwamba ukiripoti, au ukifichua taarifa za wezi wa mafuta, wala rusha kwenye idara za serikali, na wakwepa kodi basi wewe ni muhalifu unayetakiwa kutafutwa na polisi?! khaaaaaaa

Na kwamba eti hawa wafichua taarifa wanatafutwa na polisi kwasababu tu watuhumiwa wa ubadhirifu hawajafurahi na kwa hiyo polisi inabidi iwasake waliofichua hizo taarifa ili iwafanye nini sasa?!

Mbona hizo issue zote i.e. za wizi wa mafuta, za wakwepa kodi na za rushwa kwenye mataasisi ya uma, ndio zinazobeba lile zoezi letu pendwa la utumbuaji wa majipu?! Kwa hiyo kumbe ilikuwa ni makosa kufichua hao wabadhirifu?! oh God! this is sooooo sad... 🙁
 
Tanzania haina ubavu wa kuzuia social networks kubwa kama facebook, China, Northen Korea, Vietnam, Syria, Iran na wababe wengine ndiyo wameweza. Kwa kifupi Tz haina jeuri hiyo.
Inawezekana wakaziblock ila nnasikia kuna the other way around unaweza kuziaccess
 
Tunako kwenda siko kama serikali inadhani wanachofanya nimatakwa ya mungu ..... Wanakosea ngojatuone watakakofika.....
 
Yaani wewe kila kitu kuhusu serikali unajidai kutetea, Huna busara yeyote!

Max hahitaji fadhila kutoka upande wowote ule ili apate haki yake. Sheria za Tanzania ziko wazi.

Wacha watu waandike ya moyoni. Haki haiombwi, huwa inadaiwa, its a matter of time.

- Sitaki kuamini wewe ndiye mpima Busara hapa JF, kuandika ya moyoni na kuandika Ukweli ni vitu viwili tofauti pole sana ila sio wewe yanayokusibu ndio maana unaweza kuandika utakavyo, endelea tu ila seriously una busara sana sana sijawahi kuona in my life!!

le Mutuz
 
Mahakamani saa ngap?!nataka kwenda huko
Kwa taarifa nilizonazo, ilikuwa apelekwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Ilala leo saa 3 asubuhi, lakini mpaka saa 6 mchana alikuwa bado yupo katika kituo cha polisi cha Kati. Wenye taarifa mpya watujuze tafadhali.

Kaka ...
 
Back
Top Bottom