Duh.. E mungu nijaalie kukoment maneno ambayo hayatanisaibakraimu AMEN. E mungu nijalie nisome komenti ambazo siyo saibkraimu Amen.. Emungu njaalie niskotiwe ujumbe ambao ni saibakraimu Amenkakataa kutoa taarifa za baadhi ya watumiaji/wateja wa jf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh.. E mungu nijaalie kukoment maneno ambayo hayatanisaibakraimu AMEN. E mungu nijalie nisome komenti ambazo siyo saibkraimu Amen.. Emungu njaalie niskotiwe ujumbe ambao ni saibakraimu Amenkakataa kutoa taarifa za baadhi ya watumiaji/wateja wa jf
Nina wasiwasi na Savers za JF wanaweza Ku destroy naomba IT wetu wazilinde! Nchi ya Kipumbavu sana wakati FBI wangezama tuu bila hata huyo Melo kujua.
Mimi Apart from ID
Jina language Fake
Email Fake
ID Fake
Birthday Fake
Kufafanua Nini?Fafanua
IP haitoshi na ni un reliable kwa sababu wengine wanatumia WiFi so unakuja eneo au jwngo lina watu zaidi ya 15 wanatumia same IPMkuu hiyo ip address unayotumia kupost mara kwa mara si itaonekana tu. Yaani hapa mwanangu kama ulikuwa unaiponda serekali imekula kwako. Anza kuandika urithi kabisa kama una chochote maana jela inakuhusu. Huyo Maxence Melo mwenyewe alivyo mwembamba akipigwa kibao kimoja tu anakabidhi server yote kituoni. Mimi leo naenda kuraruana na mke wangu ya mwishomwisho maana huko jela hiyo huduma hamna ni nyeto tu.
Kujifikilia wewe na familia yako ni mawazo ya kijinga na dunia hii isingekus hivi. Hivi kama nyerere angeifikilia kwanza familia yake Leo tungekuwa hapa?Hilo ni juu ya CEO wa JF kuamua mimi nimetoa ushauri tu, kwamba aidha atii Serikali wanavomtaka au ageuke kuwa Mwanamapinduzi lkn jambo moja nalijua kwamba when chips are down atakuwa mwenyewe na familia take, na nyie wote mnaomchochea mtahamia kwingine!
ndugu yangu sio utani tunapoelekea kubaya sana maana maisha magumu na kuongea tunachaguliwa maneno ya kuongea,yaani ni sawa na mtu aliyekuzidi nguvu anakufinya na kukupiga halafu anakuzuia kulia wala hata kusema "yalaaaaaaaaa".Yani we uwe kimya tu na uendelee kuumiaha ha ha ha mkuu umenichekesha sana
View attachment 445691
Mkurugenzi mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo, ameitwa na baadaye kuwekwa ndani, Central Police.
Polisi wanaeleza muda huu kwamba leo atalala ndani hadi kesho atakapofikishwa mahakamani.
Kosa ni kuwanyima Polisi taarifa binafsi za wateja wa mtandao wa JamiiForums zilipohitajika. Maxence ameendelea kushikilia msimamo kuwa ni uvunjwaji wa sheria na haki za wananchi kufanya hivyo.
Maxence Melo anakamatwa huku kukiwa na Kesi ya Kikatiba dhidi ya taarifa ambazo Jeshi la Polisi wanazitaka, kesi namba 9 ya mwaka 2016 dhidi ya Jamii Media dhidi ya polisi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kesi ambayo mahakama kuu itatolea hukumu, tarehe 20 Februari.
Iwe bojo chonka basi omushaija yatumala amagosi ...Issue tunetakiwa kukamatwa sisi yeye akataaa kuwapa ubuyu wa mahali tuipo!!!! L000h.........Ngoja habari hizi nizifikishe kijijini kwao wahaya wote waandamane
Mungu ampiganie.
Timu ya Mods itaendelea kuwajulisha kinachoendelea
Awamu zote 4 za nyuma zingekua kama hii zamani mi ningeshaomba urai wa nchi nyingine
umeshaambiwa kakataa kutoa siri za watumiaji wa JF, tena unauliza kakamatwa bila sababukakamatwa bila sababu?