Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujifikilia wewe na familia yako ni mawazo ya kijinga na dunia hii isingekus hivi. Hivi kama nyerere angeifikilia kwanza familia yake Leo tungekuwa hapa?
Soma taratibu mada , haraka ya nini?Tatizo ni nini.
Hizo taarifa baada kugundulika ni feki si zilifutwa? Tatizo liko wapi?
lingefanya kazi na instagram ya Mange!acheni jeshi lifanye kazi yake maana mlikua mnajizungumzia havyo sana humu
Kama ni uzushi si zinapuuzwa tu. Mbona hawa mawaziri wake wanatoa taarifa za uzushi tunawapuuza?Magu hausiki hapa
Sheria ya mitandao imepitishwa ns bunge Magu si Rais
Hilo mlifahamu,
Watu wanapost habari za uzushi bila kuangalia athali zake kwa jamii.
Hii inaleta maana kuwa
Unapo leta uzushi ujue sheria IPO
Uwe tayali kukabiriana na sheria husika.
Na yeye ni mmoja wapo wa hao wanaotafutwa. Sababu hiyo habari na yenyewe iliwekwa humu so polisi wakishapata hizo details zao ndio tutajua watakachofanywaHivi yule aliyefoji amri ya mahakama umeya kinondoni. Alifanywa nini
nini kifanyike sasa maana watanzania hawana hata dalili za kujiongeza, inaumizandugu yangu sio utani tunapoelekea kubaya sana maana maisha magumu na kuongea tunachaguliwa maneno ya kuongea,yaani ni sawa na mtu aliyekuzidi nguvu anakufinya na kukupiga halafu anakuzuia kulia wala hata kusema "yalaaaaaaaaa".Yani we uwe kimya tu na uendelee kuumia
Wakuu naomba nijuzwe namna ya kupata hifadhi ubalozini ili usishtakiwe na nchi yako kama alivyofanya Julian Asange wa wikileaks?
View attachment 445691
Mkurugenzi mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo, ameitwa na baadaye kuwekwa ndani, Central Police.
Polisi wanaeleza muda huu kwamba leo atalala ndani hadi kesho atakapofikishwa mahakamani.
Kosa ni kuwanyima Polisi taarifa binafsi za wateja wa mtandao wa JamiiForums zilipohitajika. Maxence ameendelea kushikilia msimamo kuwa ni uvunjwaji wa sheria na haki za wananchi kufanya hivyo.
Maxence Melo anakamatwa huku kukiwa na Kesi ya Kikatiba dhidi ya taarifa ambazo Jeshi la Polisi wanazitaka, kesi namba 9 ya mwaka 2016 dhidi ya Jamii Media dhidi ya polisi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kesi ambayo mahakama kuu itatolea hukumu, tarehe 20 Februari.
well said mkuu!Mwigulu Nchemba ni member wa JF, pia Mwigulu Nchemba ndio boss wa Jeshi la Polisi na pia tuhuma za kughushi boss huyu ziliandikwa humu JF kisha boss huyu akaja na kanusho/utetezi usioingia akilini pa wengi, je kuna nini hapa?
Naomba jopo la mawakili wasomi liundwe mara moja tuwekewe account number tutatowa pesa kuliko zile tunazochangia harusi na hakika wale wanaounderestimate power of JF watapata clear message.
Itakuwa ni aibu kwetu na nitajitowa rasmi JF kama Max atafikishwa mahakamani akiwa anatetewa na mawakili wasomi chini ya 10.
Na nyinyi mawakili mliopo humu muache kuendekeza njaa hizi ndio kesi za kuvolunteer kujenga credibility na legacy yenu kwa jamii.
Mods sasa anzeni kukusanya thread zote za wanaomtukana Lowasa humu, na wanaomtukana Nyerere wakiongozwa na Faiza Foxy ili tuelewane vizuri mbeleni.
Wakuu naomba nijuzwe namna ya kupata hifadhi ubalozini ili usishtakiwe na nchi yako kama alivyofanya Julian Asange wa wikileaks?