Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ni juu ya CEO wa JF kuamua mimi nimetoa ushauri tu, kwamba aidha atii Serikali wanavomtaka au ageuke kuwa Mwanamapinduzi lkn jambo moja nalijua kwamba when chips are down atakuwa mwenyewe na familia take, na nyie wote mnaomchochea mtahamia kwingine!
Mwanzo hawakuweka sababuumesoma vizuri?
"Kosa ni kuwanyima Polisi taarifa binafsi za wateja wa mtandao wa JamiiForums zilipohitajika."
utaenda wapi usa labda?Mkuu hilo neno vinginevyo humu ndani tutaumia. Nikiona mwelekeo mbaya nakimbia Nchi
Sio kufungana midomo, ni zaidi.Mmmh huku sasa ni kufungana midomo kilazima
Hatutakuwepo kimwili lkn kiroho tutakuwepo. Achague kuitumikia serikali akose member's ambayo itampelekea kufunga au awe huru apate members
Sidhani kama watakuwa wamemshindwa Mange Kimambi. Inawezekana ni suala la muda tu. serikali haishindwi kitu. Cha kuombea mtandao wetu ubaki salamaWamemshimdwa Manhe Kimambi wanakimbilia JF
Madelu! Ukute mtu anayetumia Id ya Mwigulu Nchemba ni kada wa CHADEMA
Kama mimi nipo huku Songea. Hata ATCL haileti ndege. Itakuwa ngumu kufikaUtatulipia nauli. Unafikiri members wote wa JF wapo Dar?
RAIA anato habari za uzushi anasakwa je viongozi wanaotoa habari za uwongo nao wanafanywa nn? Kwann tunamuonea huyu RAIA watanzania. Kweli kinyatta hakukosea alipotuita sisi makondoo kwani hatuna ujasiri wa kuhoji, wala kupigania haki zetuKwa style hiyo basi gerezani watu wangeisha. Kwakuwa mtu kakuibia na mali zako ukazipata basi hakuna haja ya kesi.
Hapo haitafutwi JF na ndio maana hawakumkamata mello kwa kosa la uchochezi. Kwa nilivyoelewa Wao wanataka details za mtu aliyepost hizo taarifa. Aseme sahihi ya msemaji wa ikulu kaitoa wapi?
Una uhakika kwamba ndio wanachohitaji? au unahisi tu?Kuna Postive na Negativ..kuna baadhi ya yetu humu JF uwa tunachangia hoja kwa evidnce nzito..smtmz polis wanatafuta evdnce ya tukio flani ukiingia JF unakuta member moja ameliongelea lile tukio kiundan zaidi lazima polis watafute evidnce hapa..