Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Sasa awape majina feki jamaniiii hii siyo haki,ipo wapi Freedom of speech?
 
Hilo ni juu ya CEO wa JF kuamua mimi nimetoa ushauri tu, kwamba aidha atii Serikali wanavomtaka au ageuke kuwa Mwanamapinduzi lkn jambo moja nalijua kwamba when chips are down atakuwa mwenyewe na familia take, na nyie wote mnaomchochea mtahamia kwingine!

Ni hivi huyo Maxence Mello hata hii jf ikifungwa anaweza kuanzisha forum nyingine kabisa. Magazeti mangapi yamefungiwa na bado watu wametoka kivingine? Tunajua wanaotafutwa ni watu wanaomwaga ukweli unaowaumiza watawala na wala sio waandika uzushi kama unavyotaka kutuaminisha. Kuna mtu alitoa nyaraka fake ya mahakama kuhusu zuio fake la mahakama kwenye umeya wa Dar kipi alifanywa? Nondo zinazomwagwa humu usipime, watu wanasema ukweli kiasi watawala hawalali hivyo namna pekee sio watawala kujirekebisha bali ni kuwafanyizia hao watoa ukweli. Ww kwa sasa uko salama japo ni mmoja kati ya watu wachochezi na wanaovunjia wengine heshima ila salama yako unasifia watawala.
 
Najaribu kufikiria tu, Kama police wakipewa taarifa za watumiaji wa mtandao wa Jamiiforum nini kitafuata? Kazi kweli kweli ...
 
Hatutakuwepo kimwili lkn kiroho tutakuwepo. Achague kuitumikia serikali akose member's ambayo itampelekea kufunga au awe huru apate members

Hilo ni chaguo lake kama anataka kugeuka Mwanamapinduzi kwa ajili ya watu ambao wanasema watakuwa naye kiroho ni yeye tu ndo anapaswa kuamua, lkn maisha yamenifundisha mengi khs binadamu kwamba mwisho wa siku hakuna anayejali na utakuwa mwenyewe, lema ni mfano mzuri ukiondoa familia yake hakuna anayekosa usingizi kwa ajili yake hata Mbowe au Lowasa hawajakanyaga Arusha hata Tundu lisu ambaye ni Mwanasheria hajakanyaga Arusha kwa ajili ya Lema!
 
Wamemshimdwa Manhe Kimambi wanakimbilia JF
Sidhani kama watakuwa wamemshindwa Mange Kimambi. Inawezekana ni suala la muda tu. serikali haishindwi kitu. Cha kuombea mtandao wetu ubaki salama
 
Kwa style hiyo basi gerezani watu wangeisha. Kwakuwa mtu kakuibia na mali zako ukazipata basi hakuna haja ya kesi.

Hapo haitafutwi JF na ndio maana hawakumkamata mello kwa kosa la uchochezi. Kwa nilivyoelewa Wao wanataka details za mtu aliyepost hizo taarifa. Aseme sahihi ya msemaji wa ikulu kaitoa wapi?
RAIA anato habari za uzushi anasakwa je viongozi wanaotoa habari za uwongo nao wanafanywa nn? Kwann tunamuonea huyu RAIA watanzania. Kweli kinyatta hakukosea alipotuita sisi makondoo kwani hatuna ujasiri wa kuhoji, wala kupigania haki zetu
 
Kuna Postive na Negativ..kuna baadhi ya yetu humu JF uwa tunachangia hoja kwa evidnce nzito..smtmz polis wanatafuta evdnce ya tukio flani ukiingia JF unakuta member moja ameliongelea lile tukio kiundan zaidi lazima polis watafute evidnce hapa..
Una uhakika kwamba ndio wanachohitaji? au unahisi tu?
 
Back
Top Bottom