Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamkamate yule wa tanzagizaTena wewe ndio unahitajika sana kwa uchochezi wako na kuitukana serikali
Kitu ambacho hukijui ni bora ukauliza usije ukaonekana mshamba!sasa mbona hizo fb na ig ambazo zinaongoza kuchafua na kutoa matusi pia kuvunja sheria za mitandao hazichukuliwi hatua na serikali ya tz kuwakamata hao ma ceo wao? acha ushamba wew.
Zamani kulikuwa hakuna udikteta uchwara,zmani hakuna alietamani malaika waje wazime mitandao,zamani tulikuwa tuna bunge live,zamani mikutano ya siasa haikufutwa.......kwa hyo usituletee hadithi zenu za lumumba wanafki wakubwa nyie mnataka msifiwe tu.- Guys mngekuwa mnatumia busara kabla ya kuandika huenda Max angekuwa ameshatoka lakini maandiko kama haya serisouly unaamini yanaweza kumsaidia Max kuachiwa? I mean mimi toka jana nimejitahidi sana kufuatilia hii kesi Max is my friend na leo nimeenda tena mpaka kwa Mkuu wa Polisi, again mnachokiandika huku na kinachoendelea mbona havifanani?
- Max aliwahi Kukamatwa huko nyuma enzi hizo hapa tulikuwa watuwazima wengi sana wala ile ishu haikuguswa hapa na wala haikuwa tatizo kumtoa, now kwa maneno kama haya ambayo mnaandika bila hata kupima mnachokiandika bila hata ukweli tunamsaidiaje ndugu yetu, guys please think before you write kama kweli unachoandika kina mantinki, Freedom of Speech inatakiwa kuambatana na responsibility, kama unajiamini unachoandika ni the TRUTH then huna sababu ya kumuogopa mtu, please punguzeni kuandika bila responsibility
- Zamani sisi tulikuwa tunaandika worse kuliko siku hizi mnavyoandika lakini hatukuwa tunasumbuliwa cause tulikuwa kwenye mstari na tunachoandika na it was so Truthfully hata wahusika walikuwa hawana jinsi ila kutuacha tu, lakini siku hizi watu wanaandika hapa kama wamekunywa mapombe I mean Freedom of Speech inatakiwa kuambatana na Responsibility!!
le Mutuz
Linki ya kwenda wapi.Link ipo wapi?
Gambia tu walifungia facebook wakati wa uchaguzi ije kuwa sisi? Haujui unachikongea wewe!
Unavyodhani ukiwa na id fake upo anonymousMax Melo anawezaje ku identify anonymous members?
Nini mimi au wewe ambaye hajui anachokiongea? Kuna nchi zimewahi kususpend facebook kwa muda kwasababu fulani fulani. Alafu unaijua Gambia kwa kuisikia tu ww, watu wamekimbia nchi Gambia huko kwa kibano cha Yahya Jammeh. Jammeh alishaamua kumwaga ugali na mboga kabisa , na ndiyo maana alikuwa anafanya chochote anachojisikia kufanya bila kuhofia chochcote. Bangladesh, China, Iran, North Korea na Syria, hizo nchi facebook iko banned, kwa baadhi ya nchi nyingine wanafanya interfernce tu. Sasa niambie demokrasia ikoje kwenye hizo nchi, na pia mahusiano ya viongozi wa nchi hizo na western countries yakoje. Narudia Tanzania haina jeuri hiyo kwakuwa hatujafikia kiwango hicho cha ukandamizaji wa freedom of speech, kwahiyo usitake kuifananisha Tanzania na Gambia hapa.
You are a nightmare to the regime.
Soma comment yako mara mbili au tatu, kisha angalia familia yako kama unayo, au wazazi wako kama wapo, then rudia kusoma tena comment yako, halafu jiulize madhumuni mficho yaliyo ndani ya nafsi yako.! Kisha yatakayokupata usitafute mtu wa kumlaumu jamii forum sio mbali kama udhaniavyo.Naona malaika wanakuja kuzima mitandano ya kijamii kwa miaka kadhaa mpaka atakapomaliza kufanya yake
Sasa wewe unachokiongea hasa ni kipi kwa maana sikuelewi, kwamba TZ hatuna uwezo (kitaalamu) kuifungia facebook au hatuwezi kuifungia facebook kwa sababu hatuna sababu ya kufanya hivyo?
Ukifuatilia historia ya kujadiliana ni pana lakini kilicho kikubwa ni kuelewa kuwa 'it is a art of crushing of ideas'. Na wataalamu wa haya mambo wanasema pale mawazo mawili tofauti yanapogongana kinachotokea katikati yake ni UKWELI. Kwa maana hiyo ideas au mawazo ni mawazo tu na kiujumla kila wazo ni sahihi as long as liko kichwani mwa mwenye nalo, hatuwezi kusema wazo ni zuri au baya, la kijinga au welevu, la kichochezi au la amani, la kumtukuza mtu au kumdharau nk mpaka pale mwenye nalo atakapopewa nafasi ya kulitoa na kulitetea.- Guys mngekuwa mnatumia busara kabla ya kuandika huenda Max angekuwa ameshatoka lakini maandiko kama haya serisouly unaamini yanaweza kumsaidia Max kuachiwa? I mean mimi toka jana nimejitahidi sana kufuatilia hii kesi Max is my friend na leo nimeenda tena mpaka kwa Mkuu wa Polisi, again mnachokiandika huku na kinachoendelea mbona havifanani?
- Max aliwahi Kukamatwa huko nyuma enzi hizo hapa tulikuwa watuwazima wengi sana wala ile ishu haikuguswa hapa na wala haikuwa tatizo kumtoa, now kwa maneno kama haya ambayo mnaandika bila hata kupima mnachokiandika bila hata ukweli tunamsaidiaje ndugu yetu, guys please think before you write kama kweli unachoandika kina mantinki, Freedom of Speech inatakiwa kuambatana na responsibility, kama unajiamini unachoandika ni the TRUTH then huna sababu ya kumuogopa mtu, please punguzeni kuandika bila responsibility
- Zamani sisi tulikuwa tunaandika worse kuliko siku hizi mnavyoandika lakini hatukuwa tunasumbuliwa cause tulikuwa kwenye mstari na tunachoandika na it was so Truthfully hata wahusika walikuwa hawana jinsi ila kutuacha tu, lakini siku hizi watu wanaandika hapa kama wamekunywa mapombe I mean Freedom of Speech inatakiwa kuambatana na Responsibility!!
le Mutuz
Ukifuatilia historia ya kujadiliana ni pana lakini kilicho kikubwa ni kuelewa kuwa 'it is a art of crushing of ideas'. Na wataalamu wa haya mambo wanasema pale mawazo mawili tofauti yanapogongana kinachotokea katikati yake ni UKWELI. Kwa maana hiyo ideas au mawazo ni mawazo tu na kiujumla kila wazo ni sahihi as long as liko kichwani mwa mwenye nalo, hatuwezi kusema wazo ni zuri au baya, la kijinga au welevu, la kichochezi au la amani, la kumtukuza mtu au kumdharau nk mpaka pale mwenye nalo atakapopewa nafasi ya kulitoa na kulitetea.
Kinachotusumbua Tanzania na kwingineko ni mfumo ambao tumeamua kuuweka ili kuyawakilisha mawazo ya kila mmoja wetu. Je, mfumo wetu unamwezesha muongo kwa msaada wa waelewa kufikia sehemu akajitambua kuwa anasema uongo!? Mfumo unasaidia mpenda vurugu kuelewa ubaya wa vurugu kupitia kwa wapenda amani!?
Tunaweza kulaumiana sana lakini wasiwasi wa wengi ni mambo kama yanayotokea Gambia kwa mfano yasije kutukuta pia.