Kwa hyo azidishiwe ulinzi mkuu auProf Jamani ni mtu mmoja very social. Mwaka Jana tulimwalika kwenye kikao chetu Cha kazi kuja kutoa mada, aiseee!!! Tuliinjoy Sana. Jamaa ana madini hatari. Lakini pia huwezi kuchoka kumsilikiza Make Ana vichekesho vya hapa na.pale Hadi rahaaaa
Ukiona hivyo huyo kazaliwa juzi. Sisi wakushi tunaelewa Prof. Sarungi ni Nani nchini hapa. Alisikitisha mno alipoingia kwenye Siasa. Yaani nchi hii mambo mengine ni hovyo mno. Yaani Yule alikuwa anaunga mifupa isiyoungika kabisa. Yaani MTU anatoka Bugando alishafanyiwa operation kibao au anamfuata huko visiting na akimaliza visiting watu wanatembea. Acha kabisa kichwa hiki.Acha utani aisee, Prof Sarungi umemuonea hapo. Ni one of the best Dr's ambao tumewahi kuwa nao. Unamlinganisha na huyu kigwangalla? Kweli?
Kuna Scientist mmoja Mchaga Yuko Marekani. Kuna kipindi alikuja likizo yaani mpaka inakua kero. Yaani ulinzi ni mkali mno. Mpaka Kulala siyo nyumbani. Ni hotel na walikuwa wanahama Arusha, Moshi Mjini na Arusha. Nilisikitika Sana. Baba yake mpaka aliugua presha akimuwaza mtoto wake Genius. Ila kwao kumejengwa Sana kama ulaya na tetesi ilisimamiwa na Mmarekani!!!!! Mateso haya.kwanza elewa ni kwanini wa-Iran au hata wa USA wamewa wekea ulinzi wa Hatari ma scientist wao kama lulu…………...
Sahih kbsa late CEO alishakuwa mgonjwa kitambo tu kampeni zake.ni za kuvizia vizia tu mm nilimuona late CEO alivyokuja kufungua stand yake ambayo ilikuwa Bado haijaisha na daraja la John kijaz na alivyo muapisha bwana ally bashiru nilitilia shaka binafs Hali yake ya kifya. Na sura yake na uzoni alichoka sna kweli ajakatiza mwez tayari Israel Yuko karibu sna kumalizan nayeHalafu eti MTU anahoji ulinzi. Ile ni tunu. Kuipoteza hatutakaa tupate mwingine. Ni international figure. Mijitu mingine inawaza tu mtu kuuliwa wakati tayari hata ukimwangalia usoni alishajifia. Magari tu ya kampeni au safari yalijazwa viokozi kibao. Kampeni hakuweza kukamilisha zote na nyingine tarehe zilisogezwa au kufutwa walipoona Hali ya Afya ni mbovu. Corona akafichwa msituni kwao maana alikuwa delicate Ila kilichotokea baada ya kubeza mask ni sidiria kinajulikana wazi. Wasije kutuletea mitungo ya hadithi za kufikirika.
Huyu huyu Bab ake na Maria tstai sarungi au siyo Bab ake yule mzeeUkiona hivyo huyo kazaliwa juzi. Sisi wakushi tunaelewa Prof. Sarungi ni Nani nchini hapa. Alisikitisha mno alipoingia kwenye Siasa. Yaani nchi hii mambo mengine ni hovyo mno. Yaani Yule alikuwa anaunga mifupa isiyoungika kabisa. Yaani MTU anatoka Bugando alishafanyiwa operation kibao au anamfuata huko visiting na akimaliza visiting watu wanatembea. Acha kabisa kichwa hiki.
Muhimbili mpaka 2005 ilikua Kama soko la mbuziAisee. Zilikuwepo kwa ukubwa wake kipindi hicho. Alikuwa Visiting Bugando na KCMC. Nairobi na kwingine. Hivyo kwetu Tanzania enzi hizo kulikuwa na Muhimbili Refferal Hospital ikisaidiwa na Bugando kanda ya Ziwa na KCMC kaskazini japo nayo ilibeba wagonjwa Tanzania nzima mpaka nchi jirani. Hizo zimeendelea kukua mpaka zilipo na zimeibuka nyingine sasa za mikoa na nyinginezo. KCMC wakati huyo ikiwa full chini ya🍾Samaritan/Lutheran na Bugando kanisa Katoliki. Kwa sasa Serikali inahudumia kiasi Fulani cha bajeti hospital hizi na watumishi wako wa Aina mbili ambao ni serikali full wanalipwa na full Kwa hao mashirika.
Baba yake,Ila mtoto kawa chizi,no substance kwenye arguments zakeHuyu huyu Bab ake na Maria tstai sarungi au siyo Bab ake yule mzee
Hata wewe babu yako wa 100 nyuma anaweza akawa ni mmanyema ama mnubi......
Baba yake,Ila mtoto kawa chizi,no substance kwenye arguments zake
Kwamba alikuwa na hali mbaya kumshinda nywele nyeupe ambaye alikuwa mshindani mwenzie 2015?Halafu eti MTU anahoji ulinzi. Ile ni tunu. Kuipoteza hatutakaa tupate mwingine. Ni international figure. Mijitu mingine inawaza tu mtu kuuliwa wakati tayari hata ukimwangalia usoni alishajifia. Magari tu ya kampeni au safari yalijazwa viokozi kibao. Kampeni hakuweza kukamilisha zote na nyingine tarehe zilisogezwa au kufutwa walipoona Hali ya Afya ni mbovu. Corona akafichwa msituni kwao maana alikuwa delicate Ila kilichotokea baada ya kubeza mask ni sidiria kinajulikana wazi. Wasije kutuletea mitungo ya hadithi za kufikirika.
Anajua anahusika na tukio la 17/3/2021 kwahiyo ulinzi lazima uwepo tu ila ni suala la muda watalipia uovuNimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.
Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.
Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Hata kwenye uchaguzi betri zilichomolewa kwani eti zilichanganywa na gunzi.Hakuna siri ya watu wawili
Ndiyo huyo?Mbona hata mateja hawawezi kumzuru?
Anazijua papuch za viongozi wengi , sasa juz kati kazinguliwa pay yke flan akatishia kua anazo kwa flashNimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.
Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.
Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
DuuhDakika za mwisho wa jpm alikuwa nae anajua a to z hofu imemkuta malipo hapahapa
All days, good appearance hide a lot from any of your business.Ndiyo huyo? Mbona hata mateja hawawezi kumzuru?
Madini ya wapi babu!!!...utakua na akili za kipinzani tu ndiyo maana unaona madiniWewe kama humuelewi Maria Sarungi ni lazima utakuwa sio mwehu tu bali ni CHIZI!!! Shangazi anatema madini namna ile halafu wewe bwege unasema hakuna substance?
HahahahahaTuhuma nzito dhidi yake
Nyie mnanichanganya eti mnasema noo substance over fom kwa mtot wake [emoji1787][emoji1787] profu Ana vinasba na warusi ilisemekana Ni mwafrica wa Kwanza kbsa kuoa mrusi kwa kipindi kile bas jamaa lilikuwa fire snaaWewe kama humuelewi Maria Sarungi ni lazima utakuwa sio mwehu tu bali ni CHIZI!!! Shangazi anatema madini namna ile halafu wewe bwege unasema hakuna substance?