goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Kwa hyo azidishiwe ulinzi mkuu auProf Jamani ni mtu mmoja very social. Mwaka Jana tulimwalika kwenye kikao chetu Cha kazi kuja kutoa mada, aiseee!!! Tuliinjoy Sana. Jamaa ana madini hatari. Lakini pia huwezi kuchoka kumsilikiza Make Ana vichekesho vya hapa na.pale Hadi rahaaaa
Aachwe aparuliwe na gang fln HV la wahuni