Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Madini ya wapi babu!!!...utakua na akili za kipinzani tu ndiyo maana unaona madini

Akili za kipinzani maana yake kukataa kuwa kondoo wa wahuni wa ccm? Kama ni hivyo sawa lakini mimi namuona Maria Sarungi kama zawadi Mungu kaitunuku Tanzania. Mwanamke jasiri asiyekubali kuburuzwa kwa manufaa ya wahuni waliopo nchini.
 
Namshauri amfuate balali alipo la sivyo ajiandae Huyo ndio aliehusika na kuuzimisha moyo wa Jiwe Chato inaambiwa alimdunga sindano tisa za usingizi yaani Jiwe alivyostuka tu alikuwa kipofu akazimika mazima mpaka leo,
 
Asante sana kwa hii chai ya kiftaria.
 
Kama tu babu Yangu alijihalalisha kuwa ni raia wa TANZANIA; kama hakufanya hivyo mimi nitakuwa muhamiaji haramu!!! Unajua hilo wewe bwege!
Mimi bwege mtozeni ninakuuliza ya kwamba unakuwaje muhamiaji haramu na wakati uraia wako umeupata kwa kuzaliwa ndani ya JMT?!!!

#Siempre JMT🙏
 
Mimi bwege mtozeni ninakuuliza ya kwamba unakuwaje muhamiaji haramu na wakati uraia wako umeupata kwa kuzaliwa ndani ya JMT?!!!

#Siempre JMT🙏

Kama wazazi wake hawakuukana uraia wa walikotoka hata akizaliwa hapa Bongo yeye sio raia!!! Kaulize yaliyompata Kinana na uraia wake!
 
Mbona umesahau kusema ni mwana 'Msaada Kontena Makao' Oysterbay Mkuu?
 
Kama wazazi wake hawakuukana uraia wa walikotoka hata akizaliwa hapa Bongo yeye sio raia!!! Kaulize yaliyompata Kinana na uraia wake!
Sawa....

Mtu kazaliwa bongo....kafikisha umri wa miaka 18 /21 wa kuchagua uraia bado tu unamtoa utanzania wake?!!!😳😳

Umeshinda mwamba 🤣
 
Sawa....

Mtu kazaliwa bongo....kafikisha umri wa miaka 18 /21 wa kuchagua uraia bado tu unamtoa utanzania wake?!!!😳😳

Umeshinda mwamba 🤣

Umeelewa kwavile nimemtaja Kinana wewe kifuu?
 
Kweli huyo ni mtoto mdogo na huenda maziwa hayajakauka mdomoni
 
Janabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!

He is a nutty professor
Ulimsikia kuhusu kunywa maji? Jamaa anatuvuruga sana
 
Dalili ya mvua ni mawingu mazito
 
tunajiuliza ndiyo ni tunu ya taifa sasa why all of a sudden ulinzi umezidishwa ghafla, thays why lazima watu waunganishe dots sababu haiwezekani miaka yote hiyo pamoja na elimuyake iwe simple tu, ila ghafla mambo yawe kama hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…