goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Ahahahaj eti Hana substance over fom kwa Bab akeMadini ya wapi babu!!!...utakua na akili za kipinzani tu ndiyo maana unaona madini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahaj eti Hana substance over fom kwa Bab akeMadini ya wapi babu!!!...utakua na akili za kipinzani tu ndiyo maana unaona madini
Madini ya wapi babu!!!...utakua na akili za kipinzani tu ndiyo maana unaona madini
Asante sana kwa hii chai ya kiftaria.Namshauri amfuate balali alipo la sivyo ajiandae Huyo ndio aliehusika na kuuzimisha moyo wa Jiwe Chato inaambiwa alimdunga sindano tisa za usingizi yaani Jiwe alivyostuka tu alikuwa kipofu akazimika mazima mpaka leo,
Mimi bwege mtozeni ninakuuliza ya kwamba unakuwaje muhamiaji haramu na wakati uraia wako umeupata kwa kuzaliwa ndani ya JMT?!!!Kama tu babu Yangu alijihalalisha kuwa ni raia wa TANZANIA; kama hakufanya hivyo mimi nitakuwa muhamiaji haramu!!! Unajua hilo wewe bwege!
Mimi bwege mtozeni ninakuuliza ya kwamba unakuwaje muhamiaji haramu na wakati uraia wako umeupata kwa kuzaliwa ndani ya JMT?!!!
#Siempre JMT🙏
Mbona umesahau kusema ni mwana 'Msaada Kontena Makao' Oysterbay Mkuu?Janabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu Ikulu. Lakini pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.
Sawa....Kama wazazi wake hawakuukana uraia wa walikotoka hata akizaliwa hapa Bongo yeye sio raia!!! Kaulize yaliyompata Kinana na uraia wake!
Sawa....
Mtu kazaliwa bongo....kafikisha umri wa miaka 18 /21 wa kuchagua uraia bado tu unamtoa utanzania wake?!!!😳😳
Umeshinda mwamba 🤣
Unataka kusema ukiwa daktari huumwi, hufi?Mbona anavaa miwani ya macho Sasa au ndo yaleyale mganga hajigangi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweka sunna, japo tonge moja!Halafu Janabi anaalikwa kufuturu anaonekana kakikalia kisinia, haahaa haa
Nchi ngumu hii jamani
Kweli huyo ni mtoto mdogo na huenda maziwa hayajakauka mdomoniutakuwa mtoto mdogo we jamaa .
Professor Sarungi ndiye pofessor wa kwanza bingwa wa mifupa Tanzania nzima .
Alikuwa hategemewi na MOI tu huyo alikiwa anategemewa Tanzania nzima ilikuwa ikitokea ajali mikoani alikiwa anakwenda kusaidia kama majeruhi wengi na wameumia vibaya .
Embu jaribu kumgoogle usome story zake kuna mwaka ilitokea ajali mbaya kibaha majeruhi waliumia sana wakalazwa tumbi yeye alikuwa waziri wa ulinzi , alitoka wizarani akaenda tumbi kuongeza nguvu jopo la madaktari
Professor Sarungi alishawahi kuwa mfanyakazi bora wa Taifa ( nafional best worker)
Eti unafananisha na mpuuzi kama kigwa. ambaye hajawahi hata kupractice udaktari
,pitia autobiographyy yake hapo chini
Fununu huanza kama tetesi.. Intelijensia imeshahisi jambo
Ulimsikia kuhusu kunywa maji? Jamaa anatuvuruga sanaJanabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!
He is a nutty professor
Huyo kingwangala kanjanja.tuProfesa Sarungi ni daktari lakini hakuwahi kuwa tegemeo la Moi.
Ni kina Kigwangwalla tu hao.
Kwanini mkuuHuyu jamaa anamaisha magumu Sana kwa Sasa!!sijui Kama atafika 2025 ,Sina uhakika kwa kweli!!
Sent using Jamii Forums mobile app
tunajiuliza ndiyo ni tunu ya taifa sasa why all of a sudden ulinzi umezidishwa ghafla, thays why lazima watu waunganishe dots sababu haiwezekani miaka yote hiyo pamoja na elimuyake iwe simple tu, ila ghafla mambo yawe kama hivyoMwaka 2016/17 sikumbuki exactly ni mwaka gani ktk hii miwili nilikuwa na mgonjwa wangu alilazwa pale MNH ukitoka zilipo ward za wagonjwa wa moyo kwa mbele kuna cafeteria nakumbuka kama mara mbili au tatu nimekaa na huyu professor meza moja na tulikuwa hatujuani.
May be protocol zimebadilika?