Anafananishwa tu mkuu, siyo yule wa dark days 17.3.2021Kwamba ile riwaya ya dark days....ina ukweli ndani yake?
Dot inataka kuhalalisha riwaya teuleNaunganisha dots na uzi fulani hivi ingawa ni kama stori.
hahaaaaaaaa!!kuna wakati tuwe tunawaza vizuri na tuache hizi siasa chafu..... hizi zile clips za video You tube na kwingineko unafikiri ni salama kwa DR kuwa kama mimi ninayekaa Buza...
Nywele nyeupe walimtukana Sana mpaka aliitwa marehemu. Ila Mungu hapangiwi na ni fundi mzuri Sana. Yupo manywele na majuxi alifanyiwa operation ninaamini yuko salama aliko. Daktari wa Mwendazake ndiyo anajua Hali ya mgonjwa wake Ila walijitahidi Sana kuhakikisha ana gari la support na madaktari wa kutosha. Ila ikifika ya kufika hata uwe na nini bado utaondoka.Kwamba alikuwa na hali mbaya kumshinda nywele nyeupe ambaye alikuwa mshindani mwenzie 2015?
Ndiyo Baba yake mzazi kabisaaaHuyu huyu Bab ake na Maria tstai sarungi au siyo Bab ake yule mzee
Yaani Acha kabisa. Yaani mikoa yote case ngumu Muhimbili. Halafu huduma hafifu na uchafu kipindi hicho. Yaani wodini wagonjwa walilazwa wawiliwawili mpaka kule Kwa watoto walilazwa wawiliwawili. Kweli mageuzi Sekta ya Afya yamesaidia Sana.Muhimbili mpaka 2005 ilikua Kama soko la mbuzi
Watu hawajui hayaYaani Acha kabisa. Yaani mikoa yote case ngumu Muhimbili. Halafu huduma hafifu na uchafu kipindi hicho. Yaani wodini wagonjwa walilazwa wawiliwawili mpaka kule Kwa watoto walilazwa wawiliwawili. Kweli mageuzi Sekta ya Afya yamesaidia Sana.
Mlinzi wa kweli ni mungu peke yake. Kikombe kilekile alichomnywesha naye atakinywea.Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.
Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.
Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Kama hajakunyima kula kitimoto shida yako nini?Janabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!
He is a nutty professor
Picha ya walinzi tafadhali!Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.
Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.
Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
ππJanabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!
He is a nutty professor
It's unique he deserve nadhani kwa level yake tunaye mmoja tu, na sio mawazo mengine potofu ya ajabu ajabuNimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.
Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.
Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Kapo nenda you tube.ππ
Hakuna ka clip akitoa hayo maelekezo?
Naomba mwenye details kuhusu Prof.Shaba,aanzishe uzi wake,lol na anitag kwa manufaa ya kujua historia ya wataalamu wetu waliotumikia Taifa kwa weledi wa hali ya juu,na kuhifadhi kumbukumbu.AsanteSasa umtowe daktari bingwa wa moyo anayeokowa maisha ya wengi umpeleke kwwnue kundi la wala kodi hiyo itakuwa ni akili au matope?
Nitajie daktari bingwa unayemjuwa anayeacha field yake kwenda kwenye hizi siasa uchwara au hata kuteuliwa huko.
Fuatilia vizuri historia ya mtu anayeitwa Profesa Shaba Nyerere aliwaomba Waingereza wamuache Prof Shaba arudi Tanzania kuja kusaidia Taifa lake lakini Waingereza walimuahidi kumpa Nyerere madaktari watano kumreplace Profesa Shaba lakini Nyerere alikataa hatimaye Profesa Shaba ilibidi arudi Tanzania kulitumikia Taifa.
Kuzima kile kifaa mchezo?Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.
Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.
Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Huwezi kuwa Daktari wa mtu na ukazima kifaa kileJanabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu Ikulu. Lakini pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.