Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

kuna wakati tuwe tunawaza vizuri na tuache hizi siasa chafu..... hizi zile clips za video You tube na kwingineko unafikiri ni salama kwa DR kuwa kama mimi ninayekaa Buza...
hahaaaaaaaa!!
 
Kwamba alikuwa na hali mbaya kumshinda nywele nyeupe ambaye alikuwa mshindani mwenzie 2015?
Nywele nyeupe walimtukana Sana mpaka aliitwa marehemu. Ila Mungu hapangiwi na ni fundi mzuri Sana. Yupo manywele na majuxi alifanyiwa operation ninaamini yuko salama aliko. Daktari wa Mwendazake ndiyo anajua Hali ya mgonjwa wake Ila walijitahidi Sana kuhakikisha ana gari la support na madaktari wa kutosha. Ila ikifika ya kufika hata uwe na nini bado utaondoka.
 
Muhimbili mpaka 2005 ilikua Kama soko la mbuzi
Yaani Acha kabisa. Yaani mikoa yote case ngumu Muhimbili. Halafu huduma hafifu na uchafu kipindi hicho. Yaani wodini wagonjwa walilazwa wawiliwawili mpaka kule Kwa watoto walilazwa wawiliwawili. Kweli mageuzi Sekta ya Afya yamesaidia Sana.
 
Watu hawajui haya
 
Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.

Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.

Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Mlinzi wa kweli ni mungu peke yake. Kikombe kilekile alichomnywesha naye atakinywea.
 
Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.

Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.

Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Picha ya walinzi tafadhali!
 
Janabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!

He is a nutty professor
😂😂
Hakuna ka clip akitoa hayo maelekezo?
 
Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.

Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.

Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
It's unique he deserve nadhani kwa level yake tunaye mmoja tu, na sio mawazo mengine potofu ya ajabu ajabu
 
Sasa umtowe daktari bingwa wa moyo anayeokowa maisha ya wengi umpeleke kwwnue kundi la wala kodi hiyo itakuwa ni akili au matope?

Nitajie daktari bingwa unayemjuwa anayeacha field yake kwenda kwenye hizi siasa uchwara au hata kuteuliwa huko.

Fuatilia vizuri historia ya mtu anayeitwa Profesa Shaba Nyerere aliwaomba Waingereza wamuache Prof Shaba arudi Tanzania kuja kusaidia Taifa lake lakini Waingereza walimuahidi kumpa Nyerere madaktari watano kumreplace Profesa Shaba lakini Nyerere alikataa hatimaye Profesa Shaba ilibidi arudi Tanzania kulitumikia Taifa.
Naomba mwenye details kuhusu Prof.Shaba,aanzishe uzi wake,lol na anitag kwa manufaa ya kujua historia ya wataalamu wetu waliotumikia Taifa kwa weledi wa hali ya juu,na kuhifadhi kumbukumbu.Asante
 
Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.

Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.

Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Kuzima kile kifaa mchezo?
 
Janabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu Ikulu. Lakini pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.
Huwezi kuwa Daktari wa mtu na ukazima kifaa kile
 
Daktari
Screenshot_2022-07-08-13-50-50-71_1c337646f29875672b5a61192b9010f9.jpg
Screenshot_2022-07-08-13-50-30-65_1c337646f29875672b5a61192b9010f9.jpg
 
Back
Top Bottom