residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Ndio maana pacha wake na popoma ameanzisha uzi wa kuwasema "mafia" walioenda Hijj kutubu!!!
Uzi una jina gani mkuu..Ndio maana pacha wake na popoma ameanzisha uzi wa kuwasema "mafia" walioenda Hijj kutubu!!!
Janabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu Ikulu. Lakini pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.
Huo uzi umefutwa ndugu.Uzi una jina gani mkuu..
Huu ni utetezi dhaifu. Tunawajua madaktari wa maraisi wengi wako poa tu mtaani. Sema jingine. Hili halijajibu hoja mezani.Janabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu Ikulu. Lakini pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.
HahahahajJanabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!
He is a nutty professor
HahahahahCode rahisi
Meko -betri- mawinguni
Jki -msoga
Hence proven
ukimtibu kikwete na magufuli unalindwa ili iweje mkuuJanabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu Ikulu. Lakini pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.