Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Janabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu Ikulu. Lakini pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.

Kumbe
 
Huu ni utetezi dhaifu. Tunawajua madaktari wa maraisi wengi wako poa tu mtaani. Sema jingine. Hili halijajibu hoja mezani.

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
Janabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu Ikulu. Lakini pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.
ukimtibu kikwete na magufuli unalindwa ili iweje mkuu
 
Back
Top Bottom