Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Pia Ile ajali ya Dodoma ya Treni mkuu,alipambana sana.......mkuu achana na hawa watoto waliozaliwa 2005+
 
Watanzania bhana....😂😂😂😂😂😂

Ukienda kwenye jengo lolote ukakuta Kuna milango maalum, passcode na mfano wa hayo, lazima ujue kuna vitu vya thamani vimo mle...

Sasa kukuta daktari ana ulinzi huna haja ya kuleta uzi hapa, unachopaswa kujua ni kuwa KUNA KITU CHA ZIADA... na kama ni ulinzi wa SERIKALI ni vema kujitenga nalo maana kuendelea kuchokonoa inaweza isiwe kwa maslahi ya yeyote...

Of course no maoni yangu..... lila moja ana haki ya kutoa maoni hiyo maoni yangu ni ushauri tu.
 
Kwani ulinzi Mkubwa ni Kuanzia walinzi wangapi ili tupate standard ya uliznzi mkubwa tunapoendelea na Kujadili hapa jukwaani
 
Jamaa ni overrated!! Na kwakuwa wana jf wanapenda mada kama hizi basi uzi utaenda pages za kutosha bila hata ushahidi wa picha
Not overated as such but just another professional, typical of an unsung hero!

Umeshaona mageuzi makubwa ya tiba aliyosababisha huyu Profesa hapo JKCI? Kuna mambo mimi nayasikia yanafanyika hapo nashindwa kuamini kabisa kama yanafanyika ndani ya nchi yetu na yanafanywa na Watanzania.

Wakati mwingine ninafikia hadi ninakuwa na imaginations kwamba pengine labda kuna baadhi ya Malaika wameshuka kutoka Mbinguni wakiwa na sura za binadamu wakaja wakajichanganya na kuanza kufanya kazi pamoja na madaktari wetu. Kuna mambo mazito ya ajabu muno yanafanyika sasa hivi pale JKCI
 
Itakuwa anahusika na 17/3/2021
 
Labda alihusika kumuondosha kiongozi Yule.Ngoja tuone
 
MAANA YA ULINZI WAKE WOTE HUMU NENDENI POST #5. TENA KWA KUONGEZEA KWA NAMNA HIYO WAMAOMLINDA SIO WALINZI WAKE TU,WAPO NA WA SYSTEM
 
Nadhani hapa ilikuwa ni kipindi kile cha awamu ya kwanza ya Mh Mkapa ambapo yeye alikuwa Waziri wa Ulinzi. Mimi katika maisha yangu nawa-admire sana watu amabo wanakuwa ni Daktari wa binadmau na wakati huo huo ni PhD holder au ni professors. Hapa watu inabidi tukubali tu kuwa kuna vichwa Mungu alivipa ziada ya pekee. Kwanza kile kitendo tu cha kuwa mtu ni Daktari wa binadamu, hata kama ana degree moja tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…