Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Tueleze kidogo kuhusu huyo Dr Kisenge.Asipewe ulinzi,Dk Kisenge,apewe huyo?kuna namna
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tueleze kidogo kuhusu huyo Dr Kisenge.Asipewe ulinzi,Dk Kisenge,apewe huyo?kuna namna
Ila Jiwe alikua ana mkwara sana!
Sasa helicopter ilikua ya nini?!
Heading yako inasema mkurugenzi mtendaji halafu content inauliza iweje alindwe na sio kiongozi, ukurugenzi utendaji sio uongozi?
Bado code ngumu mkuuCode rahisi
Meko -betri- mawinguni
Jki -msoga
Hence proven
Umemsahau DOCTA MASAU aliyekuwa anategemewa huko marekani akaamua kurudi nyumbani?Kabla ya kuwa daktari wa Kikwete, alikuwa daktari wa Royal Family ya Saudi Arabia. Kikwete alimuopoa huko alipopata uraisi. Ikumbukwe kuwa yeye ndiye muasisi kufanyika kwa operation za moyo TZ na tangu aanze hiyo kazi ame"save" matrilioni ya shilingi. We may not know him, he may not seem important but the institution he leads has reduced international flight of money in the name of getting treatment abroad due to such treat not being available in TZ. Actually we are reaping a lot from 0our neighbors in terms of medical services...heart diseases.
Usimshambulie, tafoutisha kuwa Dr wa Rais na Dr wa SIMBA WA YUDA.inamankusweke
Acha ujinga wako!!kwani yeye ndiye daktari pekee aliyewahi kuwatibu marais?kuna madaktari wangapi walikuwa wanawatibu marais na bado hawajawahi kuwa na ulinzi mkubwa?...
Hiv huwa wanawaza nini kurudi TZ.? Au wanakuwa wamefukuzwa huko?Umemsahau DOCTA MASAU aliyekuwa anategemewa huko marekani akaamua kurudi nyumbani?
Ujinga wa watu weusi kumtegemea mtu mmoja badaka ya ku invest kwa wengine ili kutengeneza proffesional wengine kama yy na zaid yake..Sasa huyo Janab akifa ndio hiyo taasis itakuabimefika kikomo au?Usituaminishe utahaahira wako .......hata wewe ni MTU muhimu mno na kutengeneza MTU kama wewe ni gharama Sana japo ni tahahira...........wewe endelea na puchu zako ukadhani kuna kitu utagundua ......zaidi ya kujiona huna thamani
Wakati wakimlinda huyo Janaba wanawaacha wasomi muhimu kina Ngowi wakiangukiwa na makontena!Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.
Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.
Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Ila Proffesa Ngowi yeye hakuwa mtu muhimu kwa nchi hii?Janabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu Ikulu. Lakini pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.
Kweli sio mtu mdogo anayajua mengi kuhusu Mzoga na ubaya wake kwa jamii ya wanyonge wa nchi hii.Janabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu Ikulu. Lakini pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.
Hakuna siri ya watu wawiliNdie mchomoa betri lazima ahakikishiwe ulinzi,malipo hapa hapa duniani,watu wanamlia timing na yeye.
Duh, Imehama tusinywe Bia,tusinywe Soda ...Sasa hata Maji yana Madhara... madaktari Mungu anawaona..!Janabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!
He is a nutty professor
Hayo ndio ya kujiuliza kuna nini kwani mbona kipindi cha nyuma haikuwa hivyo, ?!!Isije kuwa ndie alimuondoe yule
Kwani simba wa yuda alikuwa na dr.mmoja tu?tuanzie hapo kwanza, mbona wengine hawana ulinzi huo, ?Usimshambulie, tafoutisha kuwa Dr wa Rais na Dr wa SIMBA WA YUDA.
Huenda anasema alichona solar kwenye jiwe, akiwa anacheza timu vasco da gamaBado code ngumu mkuu
Hii comment yako imenifanya nitafute kiundaniJanabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!
He is a nutty professor
youtube.com/watch?v=yJp4tQxq8uI