Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Janabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu Ikulu. Lakini pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.
Nakumbuka Dr wa Mwl Nyerere na viongozi wengine alikuwa anapuyanga mitaani mwenyewe tu...mara nyingi nilikuwa namwona mitaa ya posta Dar posta akiwa peke yake kabisa!

Kila jambo lina maana yake.
 
Kabla ya kuwa daktari wa Kikwete, alikuwa daktari wa Royal Family ya Saudi Arabia. Kikwete alimuopoa huko alipopata uraisi. Ikumbukwe kuwa yeye ndiye muasisi kufanyika kwa operation za moyo TZ na tangu aanze hiyo kazi ame"save" matrilioni ya shilingi. We may not know him, he may not seem important but the institution he leads has reduced international flight of money in the name of getting treatment abroad due to such treat not being available in TZ. Actually we are reaping a lot from 0our neighbors in terms of medical services...heart diseases.
Kwa hiyo akistaafu au kufa ndiyo unakuwa mwisho wa Taasisi ya Moyo???
 
Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.

Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.

Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Viongozi wa siri au wawazi wanapaswa kulindwa sana
Ni kitu cha kawaida
 
Aisee kumbe,kila kitu kina mwanzo na mwisho wake.
 
Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao...
Heading yako inasema mkurugenzi mtendaji halafu content inauliza iweje alindwe na sio kiongozi, ukurugenzi utendaji sio uongozi?
 
Back
Top Bottom