Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Endeleeni kufakamia sembe mvibebe vitambi vyenu wenyewe kwenye toroli, wanaume kwa wanawake.
Janabi huyu anayetuambia tusile maharage,tusile matunda,tusinywe maji,tusile nyama,tusile ugali,tusile ubwabwa,tusile hiki,tusile kile!!!
He is a nutty professor
 
Kile ni kifaa kwa namna ya uelewa wangu alifaa kuwa waziri wa afya. Apewe tu ulinzi ni haki yake.
Sasa umtowe daktari bingwa wa moyo anayeokowa maisha ya wengi umpeleke kwwnue kundi la wala kodi hiyo itakuwa ni akili au matope?

Nitajie daktari bingwa unayemjuwa anayeacha field yake kwenda kwenye hizi siasa uchwara au hata kuteuliwa huko.

Fuatilia vizuri historia ya mtu anayeitwa Profesa Shaba Nyerere aliwaomba Waingereza wamuache Prof Shaba arudi Tanzania kuja kusaidia Taifa lake lakini Waingereza walimuahidi kumpa Nyerere madaktari watano kumreplace Profesa Shaba lakini Nyerere alikataa hatimaye Profesa Shaba ilibidi arudi Tanzania kulitumikia Taifa.
 
Fungua uzi mkuu wa Dr Shaba tupate kujua vzr huyo Dr
 
Profesa Sarungi ni daktari lakini hakuwahi kuwa tegemeo la Moi.

Ni kina Kigwangwalla tu hao.
utakuwa mtoto mdogo we jamaa .
Professor Sarungi ndiye pofessor wa kwanza bingwa wa mifupa Tanzania nzima .
Alikuwa hategemewi na MOI tu huyo alikiwa anategemewa Tanzania nzima ilikuwa ikitokea ajali mikoani alikiwa anakwenda kusaidia kama majeruhi wengi na wameumia vibaya .
Embu jaribu kumgoogle usome story zake kuna mwaka ilitokea ajali mbaya kibaha majeruhi waliumia sana wakalazwa tumbi yeye alikuwa waziri wa ulinzi , alitoka wizarani akaenda tumbi kuongeza nguvu jopo la madaktari
Professor Sarungi alishawahi kuwa mfanyakazi bora wa Taifa ( nafional best worker)
Eti unafananisha na mpuuzi kama kigwa. ambaye hajawahi hata kupractice udaktari

,pitia autobiographyy yake hapo chini

Janabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu ikulu. Lkn pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.
Kabla ya kuwa daktari wa Kikwete, alikuwa daktari wa Royal Family ya Saudi Arabia. Kikwete alimuopoa huko alipopata uraisi. Ikumbukwe kuwa yeye ndiye muasisi kufanyika kwa operation za moyo TZ na tangu aanze hiyo kazi ame"save" matrilioni ya shilingi. We may not know him, he may not seem important but the institution he leads has reduced international flight of money in the name of getting treatment abroad due to such treat not being available in TZ. Actually we are reaping a lot from 0our neighbors in terms of medical services...heart diseases.
 
Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.

Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.

Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Fununu huanza kama tetesi.. Intelijensia imeshahisi jambo
 
Sasa umtowe daktari bingwa wa moyo anayeokowa maisha ya wengi umpeleke kwwnue kundi la wala kodi hiyo itakuwa ni akili au matope?

Nitajie daktari bingwa unayemjuwa anayeacha field yake kwenda kwenye hizi siasa uchwara au hata kuteuliwa huko.

Fuatilia vizuri historia ya mtu anayeitwa Profesa Shaba Nyerere aliwaomba Waingereza wamuache Prof Shaba arudi Tanzania kuja kusaidia Taifa lake lakini Waingereza walimuahidi kumpa Nyerere madaktari watano kumreplace Profesa Shaba lakini Nyerere alikataa hatimaye Profesa Shaba ilibidi arudi Tanzania kulitumikia Taifa.
Una ufahamu na uwezo mdogo kukumbuka mambo
 
Back
Top Bottom