Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Janabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu ikulu. Lkn pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.
Sawasawa
 
Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.

Kuonana na Profesa Janabi kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.

Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Code rahisi
Meko -betri- mawinguni
Jki -msoga
Hence proven
 
Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.

Kuonana na Profesa Janabi kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.

Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Dakika za mwisho wa jpm alikuwa nae anajua a to z hofu imemkuta malipo hapahapa
 
inamankusweke
Acha ujinga wako!!kwani yeye ndiye daktari pekee aliyewahi kuwatibu marais?kuna madaktari wangapi walikuwa wanawatibu marais na bado hawajawahi kuwa na ulinzi mkubwa?!!ndio maana mdau amekutana nalo na kuja kuuliza, ili kujua kuna kitu gani cha utofauti zaidi, wewe hata hujui kitu unakuja tu, eti daktari anatibu marais ndio awe na ulinzi huo?!!
 
Janabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu ikulu. Lkn pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.
Sijui hata nawaza nini, au basi. . .maana huu mtiririko Akili inanipa picha nyingine kabisa.
 
Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.

Kuonana na Profesa Janabi kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.

Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Kile ni kifaa kwa namna ya uelewa wangu alifaa kuwa waziri wa afya. Apewe tu ulinzi ni haki yake.
 
Back
Top Bottom