TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Daaah asee ni ajali mbaya sana hii...

Mungu ampumzishe kwa amani ndugu yetu.
 
Makiwa kwa wafiwa
 
Sidhani kama mnatenda haki mkisema hivyo. Watu wasio wakurugenzi ndiyo wenye haki ya kusafiri kwa magari na kupata ajali? Jambo la msingi ni kudai barabara zetu zijengwe kwa viwango na madereva na magari yawe ya viwango.
Yani halipwe Mshahara million 30 bado posho za vikao kila siku alafu asafiri kwa gari toka dar mpaka msoma sasa hzo ndege atazipanda nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…