MTANZANIA620
Senior Member
- Jun 20, 2023
- 105
- 116
Hongera Bi Rose Manumba, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, madiwani na wataalamu wote kwa uongozi wenye matokeo unaotanguliza maslahi ya wananchi. Kupitia usimamizi madhubuti wa ukusanyaji wa mapato, kuelekeza rasilimali nyingi kwenye miradi ya maendeleo inayogusa maisha ya wananchi, pamoja na kuhakikisha miradi hiyo inatekelezwa kwa ufanisi na kuzingatia thamani ya fedha, mmeendelea kutekeleza kwa vitendo maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hongera kwa uchapakazi, uwajibikaji, Team work na kujenga Msalala yenye maendeleo endelevu!
#MsalalaYaSamia
#MsalalaKaziInaendelea
#MatokeoKwaVitendo
#MsalalaYaSamia
#MsalalaKaziInaendelea
#MatokeoKwaVitendo