shimboni mene
JF-Expert Member
- Sep 11, 2022
- 264
- 290
Kwani si atairudisha? Wamuulize atairudishaje basi vinginevyo utashangaa wanamfukuza na anatokomea nazo agahahha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hv nafuatilia hizi kesi ili nijue kozi muhim za kusoma hii nchi. Ili hata wanangu wasome waje kula hii keki ya taifa maana its obvious hakuna supervision
Ni Jambo la Faraja kwamba issue hizi tunazipata zikiwa zinachukuliwa hatua, ni wazi kwamba uwezi umeengezeka. Big up Kamati ya maadili na aliyefikisha mashtaka.Mkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Gilbert Chawe, amefikishwa kwenye Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili na kukopa Sh. milioni 200.7 kinyume cha utaratibu wa mfuko.
Akisoma mashtaka hayo mbele ya baraza hilo mwishoni mwa wiki, Wakili wa Serikali, Hassan Mayunga, alidai mkurugenzi huyo alitumia fedha za umma za mfuko wa PSSSF Sh. milioni 135.6 bila kufuata utaratibu kwa kuzikopa na kununua gari binafsi, ilhali akijua fedha hizo hazikutengwa kwenye bajeti ya mwaka 2020/21.
“Katika shtaka la pili, mlalamikiwa, akitekeleza majukumu yake ya kikazi kati ya mwaka 2020 na 2021, alipokea na kutumia bila kufuata utaratibu fedha za umma kutoka PSSSF Sh. milioni 65.13 kwa ajili ya kulipia kodi ya ununuzi wa gari binafsi bila kufuata utaratibu,” alidai.
Wakili huyo alidai kitendo hiko ni kinyume cha kifungu cha 6(1)(a), (b) na (f) cha Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Na. 13 ya Mwaka 1995, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 3(2)(a) na (e) ya Kanuni za Udhibiti wa Mgongano wa Maslahi na Kanuni 7(d) na (e) ya Kanuni za Ahadi ya Uadilifu.
“Shtaka la tatu ni kupokea fedha Sh. milioni 65. 13 kutoka PSSSF kwa ajili ya kulipia kodi ya ununuzi wa gari binafsi,
lakini kiasi hicho kilitumika kinyume cha utaratibu pia hakikutumika kama ilivyokusudiwa,” alidai.
Wakili Mayunga, alidai mlalamikiwa huyo alipata mkopo huo kinyume cha Sera ya Mikopo ya PSSSF na haukupita kwenye kamati ya mikopo ya taasisi.
Upande wa mlalamikaji ulidai mbele ya baraza hilo kuwa kipengele cha 4(2)(b) cha Sera ya Mikopo ya PSSSF ya tarehe 1/11/2018 kinasema mfuko utalipa asilimia 100 ya kodi kwa mkurugenzi mkuu na wakurugenzi wengine kwa gari jipya, lakini gari alilonunua mlalamikiwa halikuwa jipya, bali gari chakavu.
Upande wa mlalamikaji pia uliwasilisha vielelezo mbalimbali ikiwamo mkataba wa mkopo uliotiwa saini Aprili 24, 2021, orodha ya wanufaika wa mkopo na hati ya malipo ya Aprili 29, 2021.
Vilevile, ushahidi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) unaonyesha kuwa, gari alilonunua Chawe lenye namba za usajili T 607 DTQ, lilisajiliwa kwa mara ya kwanza na mamlaka hiyo Juni 12, 2020 na mmiliki wake wa kwanza ni Kipenka Musa.
Mnamo Mei 4, 2021, umiliki wa gari hilo ulihamia kwa Chawe kutoka kwa Salim Cars wa Dar es Salaam ambapo Salim Cars alilinunua kutoka kwa Jaji Musa wakati gari hilo lilishalipiwa kodi na serikali na ililinunua gari hilo na kumpa Jaji Musa kama stahiki yake alipostaafu.
Mlalamikiwa huyo alikana mashtaka hayo yote lakini akakiri mbele ya baraza kuwa mmiliki wa kwanza wa gari hilo ni Jaji Musa.
“Ni kweli gari hilo alipewa Jaji Musa kama stahiki yake, lakini aliliacha Toyota kwa lengo la kutafuta mnunuzi mwingine,” alisema Chawe.
Alipoulizwa kama Salim Cars anayedaiwa kulinunua kutoka kwa Jaji Musa, alimwonyesha hati za malipo ya kodi, mlalamikiwa alishindwa kulithibitishia baraza.
“Mfuko wa PSSSF ulimlipa fedha za kodi Salim Cars, siyo mimi, malipo haya yalilipwa baada ya kujiridhisha na kiasi cha kodi kilichotakiwa kulipwa,” alidai.
Mlalamikiwa alipoulizwa mbele ya baraza kama Sh. milioni 13.6 ambayo ni asilimia 10 ya Sh. milioni 135 iliyotakiwa kulipwa TRA kama gharama ya uhamisho wa umiliki wa gari ililipwa, alishindwa kulithibitishia baraza malipo hayo.
Ukiwaambia nataka mafao yangu wanakwambia mpaka ustafu.yani unatamani kuvaa silaha ufanye yako.kumbe wanatunyima heka zetu huku wanajikopesha? Inatia hasira sanaMkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Gilbert Chawe, amefikishwa kwenye Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili na kukopa Sh. milioni 200.7 kinyume cha utaratibu wa mfuko.
Huyo hakukopa alikuwa kaiba hapo wamejsribu tu ku-diverge.Mkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Gilbert Chawe, amefikishwa kwenye Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili na kukopa Sh. milioni 200.7 kinyume cha utaratibu wa mfuko.
Akisoma mashtaka hayo mbele ya baraza hilo mwishoni mwa wiki, Wakili wa Serikali, Hassan Mayunga, alidai mkurugenzi huyo alitumia fedha za umma za mfuko wa PSSSF Sh. milioni 135.6 bila kufuata utaratibu kwa kuzikopa na kununua gari binafsi, ilhali akijua fedha hizo hazikutengwa kwenye bajeti ya mwaka 2020/21.
“Katika shtaka la pili, mlalamikiwa, akitekeleza majukumu yake ya kikazi kati ya mwaka 2020 na 2021, alipokea na kutumia bila kufuata utaratibu fedha za umma kutoka PSSSF Sh. milioni 65.13 kwa ajili ya kulipia kodi ya ununuzi wa gari binafsi bila kufuata utaratibu,” alidai.
Wakili huyo alidai kitendo hiko ni kinyume cha kifungu cha 6(1)(a), (b) na (f) cha Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Na. 13 ya Mwaka 1995, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 3(2)(a) na (e) ya Kanuni za Udhibiti wa Mgongano wa Maslahi na Kanuni 7(d) na (e) ya Kanuni za Ahadi ya Uadilifu.
“Shtaka la tatu ni kupokea fedha Sh. milioni 65. 13 kutoka PSSSF kwa ajili ya kulipia kodi ya ununuzi wa gari binafsi,
lakini kiasi hicho kilitumika kinyume cha utaratibu pia hakikutumika kama ilivyokusudiwa,” alidai.
Wakili Mayunga, alidai mlalamikiwa huyo alipata mkopo huo kinyume cha Sera ya Mikopo ya PSSSF na haukupita kwenye kamati ya mikopo ya taasisi.
Upande wa mlalamikaji ulidai mbele ya baraza hilo kuwa kipengele cha 4(2)(b) cha Sera ya Mikopo ya PSSSF ya tarehe 1/11/2018 kinasema mfuko utalipa asilimia 100 ya kodi kwa mkurugenzi mkuu na wakurugenzi wengine kwa gari jipya, lakini gari alilonunua mlalamikiwa halikuwa jipya, bali gari chakavu.
Upande wa mlalamikaji pia uliwasilisha vielelezo mbalimbali ikiwamo mkataba wa mkopo uliotiwa saini Aprili 24, 2021, orodha ya wanufaika wa mkopo na hati ya malipo ya Aprili 29, 2021.
Vilevile, ushahidi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) unaonyesha kuwa, gari alilonunua Chawe lenye namba za usajili T 607 DTQ, lilisajiliwa kwa mara ya kwanza na mamlaka hiyo Juni 12, 2020 na mmiliki wake wa kwanza ni Kipenka Musa.
Mnamo Mei 4, 2021, umiliki wa gari hilo ulihamia kwa Chawe kutoka kwa Salim Cars wa Dar es Salaam ambapo Salim Cars alilinunua kutoka kwa Jaji Musa wakati gari hilo lilishalipiwa kodi na serikali na ililinunua gari hilo na kumpa Jaji Musa kama stahiki yake alipostaafu.
Mlalamikiwa huyo alikana mashtaka hayo yote lakini akakiri mbele ya baraza kuwa mmiliki wa kwanza wa gari hilo ni Jaji Musa.
“Ni kweli gari hilo alipewa Jaji Musa kama stahiki yake, lakini aliliacha Toyota kwa lengo la kutafuta mnunuzi mwingine,” alisema Chawe.
Alipoulizwa kama Salim Cars anayedaiwa kulinunua kutoka kwa Jaji Musa, alimwonyesha hati za malipo ya kodi, mlalamikiwa alishindwa kulithibitishia baraza.
“Mfuko wa PSSSF ulimlipa fedha za kodi Salim Cars, siyo mimi, malipo haya yalilipwa baada ya kujiridhisha na kiasi cha kodi kilichotakiwa kulipwa,” alidai.
Mlalamikiwa alipoulizwa mbele ya baraza kama Sh. milioni 13.6 ambayo ni asilimia 10 ya Sh. milioni 135 iliyotakiwa kulipwa TRA kama gharama ya uhamisho wa umiliki wa gari ililipwa, alishindwa kulithibitishia baraza malipo hayo.
Hawa PSSSF wanatuona Watanzania NI wajinga Sana si ndiyo?Mkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Gilbert Chawe, amefikishwa kwenye Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili na kukopa Sh. milioni 200.7 kinyume cha utaratibu wa mfuko.
Akisoma mashtaka hayo mbele ya baraza hilo mwishoni mwa wiki, Wakili wa Serikali, Hassan Mayunga, alidai mkurugenzi huyo alitumia fedha za umma za mfuko wa PSSSF Sh. milioni 135.6 bila kufuata utaratibu kwa kuzikopa na kununua gari binafsi, ilhali akijua fedha hizo hazikutengwa kwenye bajeti ya mwaka 2020/21.
“Katika shtaka la pili, mlalamikiwa, akitekeleza majukumu yake ya kikazi kati ya mwaka 2020 na 2021, alipokea na kutumia bila kufuata utaratibu fedha za umma kutoka PSSSF Sh. milioni 65.13 kwa ajili ya kulipia kodi ya ununuzi wa gari binafsi bila kufuata utaratibu,” alidai.
Wakili huyo alidai kitendo hiko ni kinyume cha kifungu cha 6(1)(a), (b) na (f) cha Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Na. 13 ya Mwaka 1995, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 3(2)(a) na (e) ya Kanuni za Udhibiti wa Mgongano wa Maslahi na Kanuni 7(d) na (e) ya Kanuni za Ahadi ya Uadilifu.
“Shtaka la tatu ni kupokea fedha Sh. milioni 65. 13 kutoka PSSSF kwa ajili ya kulipia kodi ya ununuzi wa gari binafsi,
lakini kiasi hicho kilitumika kinyume cha utaratibu pia hakikutumika kama ilivyokusudiwa,” alidai.
Wakili Mayunga, alidai mlalamikiwa huyo alipata mkopo huo kinyume cha Sera ya Mikopo ya PSSSF na haukupita kwenye kamati ya mikopo ya taasisi.
Upande wa mlalamikaji ulidai mbele ya baraza hilo kuwa kipengele cha 4(2)(b) cha Sera ya Mikopo ya PSSSF ya tarehe 1/11/2018 kinasema mfuko utalipa asilimia 100 ya kodi kwa mkurugenzi mkuu na wakurugenzi wengine kwa gari jipya, lakini gari alilonunua mlalamikiwa halikuwa jipya, bali gari chakavu.
Upande wa mlalamikaji pia uliwasilisha vielelezo mbalimbali ikiwamo mkataba wa mkopo uliotiwa saini Aprili 24, 2021, orodha ya wanufaika wa mkopo na hati ya malipo ya Aprili 29, 2021.
Vilevile, ushahidi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) unaonyesha kuwa, gari alilonunua Chawe lenye namba za usajili T 607 DTQ, lilisajiliwa kwa mara ya kwanza na mamlaka hiyo Juni 12, 2020 na mmiliki wake wa kwanza ni Kipenka Musa.
Mnamo Mei 4, 2021, umiliki wa gari hilo ulihamia kwa Chawe kutoka kwa Salim Cars wa Dar es Salaam ambapo Salim Cars alilinunua kutoka kwa Jaji Musa wakati gari hilo lilishalipiwa kodi na serikali na ililinunua gari hilo na kumpa Jaji Musa kama stahiki yake alipostaafu.
Mlalamikiwa huyo alikana mashtaka hayo yote lakini akakiri mbele ya baraza kuwa mmiliki wa kwanza wa gari hilo ni Jaji Musa.
“Ni kweli gari hilo alipewa Jaji Musa kama stahiki yake, lakini aliliacha Toyota kwa lengo la kutafuta mnunuzi mwingine,” alisema Chawe.
Alipoulizwa kama Salim Cars anayedaiwa kulinunua kutoka kwa Jaji Musa, alimwonyesha hati za malipo ya kodi, mlalamikiwa alishindwa kulithibitishia baraza.
“Mfuko wa PSSSF ulimlipa fedha za kodi Salim Cars, siyo mimi, malipo haya yalilipwa baada ya kujiridhisha na kiasi cha kodi kilichotakiwa kulipwa,” alidai.
Mlalamikiwa alipoulizwa mbele ya baraza kama Sh. milioni 13.6 ambayo ni asilimia 10 ya Sh. milioni 135 iliyotakiwa kulipwa TRA kama gharama ya uhamisho wa umiliki wa gari ililipwa, alishindwa kulithibitishia baraza malipo hayo.
Hii mifuko imejaa madudu washa wa kutosha. Hizo fedha zinapigwa kisawasawa..Mkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Gilbert Chawe, amefikishwa kwenye Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili na kukopa Sh. milioni 200.7 kinyume cha utaratibu wa mfuko.
Akisoma mashtaka hayo mbele ya baraza hilo mwishoni mwa wiki, Wakili wa Serikali, Hassan Mayunga, alidai mkurugenzi huyo alitumia fedha za umma za mfuko wa PSSSF Sh. milioni 135.6 bila kufuata utaratibu kwa kuzikopa na kununua gari binafsi, ilhali akijua fedha hizo hazikutengwa kwenye bajeti ya mwaka 2020/21.
“Katika shtaka la pili, mlalamikiwa, akitekeleza majukumu yake ya kikazi kati ya mwaka 2020 na 2021, alipokea na kutumia bila kufuata utaratibu fedha za umma kutoka PSSSF Sh. milioni 65.13 kwa ajili ya kulipia kodi ya ununuzi wa gari binafsi bila kufuata utaratibu,” alidai.
Wakili huyo alidai kitendo hiko ni kinyume cha kifungu cha 6(1)(a), (b) na (f) cha Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Na. 13 ya Mwaka 1995, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 3(2)(a) na (e) ya Kanuni za Udhibiti wa Mgongano wa Maslahi na Kanuni 7(d) na (e) ya Kanuni za Ahadi ya Uadilifu.
“Shtaka la tatu ni kupokea fedha Sh. milioni 65. 13 kutoka PSSSF kwa ajili ya kulipia kodi ya ununuzi wa gari binafsi,
lakini kiasi hicho kilitumika kinyume cha utaratibu pia hakikutumika kama ilivyokusudiwa,” alidai.
Wakili Mayunga, alidai mlalamikiwa huyo alipata mkopo huo kinyume cha Sera ya Mikopo ya PSSSF na haukupita kwenye kamati ya mikopo ya taasisi.
Upande wa mlalamikaji ulidai mbele ya baraza hilo kuwa kipengele cha 4(2)(b) cha Sera ya Mikopo ya PSSSF ya tarehe 1/11/2018 kinasema mfuko utalipa asilimia 100 ya kodi kwa mkurugenzi mkuu na wakurugenzi wengine kwa gari jipya, lakini gari alilonunua mlalamikiwa halikuwa jipya, bali gari chakavu.
Upande wa mlalamikaji pia uliwasilisha vielelezo mbalimbali ikiwamo mkataba wa mkopo uliotiwa saini Aprili 24, 2021, orodha ya wanufaika wa mkopo na hati ya malipo ya Aprili 29, 2021.
Vilevile, ushahidi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) unaonyesha kuwa, gari alilonunua Chawe lenye namba za usajili T 607 DTQ, lilisajiliwa kwa mara ya kwanza na mamlaka hiyo Juni 12, 2020 na mmiliki wake wa kwanza ni Kipenka Musa.
Mnamo Mei 4, 2021, umiliki wa gari hilo ulihamia kwa Chawe kutoka kwa Salim Cars wa Dar es Salaam ambapo Salim Cars alilinunua kutoka kwa Jaji Musa wakati gari hilo lilishalipiwa kodi na serikali na ililinunua gari hilo na kumpa Jaji Musa kama stahiki yake alipostaafu.
Mlalamikiwa huyo alikana mashtaka hayo yote lakini akakiri mbele ya baraza kuwa mmiliki wa kwanza wa gari hilo ni Jaji Musa.
“Ni kweli gari hilo alipewa Jaji Musa kama stahiki yake, lakini aliliacha Toyota kwa lengo la kutafuta mnunuzi mwingine,” alisema Chawe.
Alipoulizwa kama Salim Cars anayedaiwa kulinunua kutoka kwa Jaji Musa, alimwonyesha hati za malipo ya kodi, mlalamikiwa alishindwa kulithibitishia baraza.
“Mfuko wa PSSSF ulimlipa fedha za kodi Salim Cars, siyo mimi, malipo haya yalilipwa baada ya kujiridhisha na kiasi cha kodi kilichotakiwa kulipwa,” alidai.
Mlalamikiwa alipoulizwa mbele ya baraza kama Sh. milioni 13.6 ambayo ni asilimia 10 ya Sh. milioni 135 iliyotakiwa kulipwa TRA kama gharama ya uhamisho wa umiliki wa gari ililipwa, alishindwa kulithibitishia baraza malipo hayo.
Anarudisha zitoke wapi mtu amenunua gari? Angekuwa amekwenda kutumia kama mtaji wa biashara tungesema wakae nae awaeleze alipanga kurejesha vipi hela za watu.Kwani si atairudisha? Wamuulize atairudishaje basi vinginevyo utashangaa wanamfukuza na anatokomea nazo agahahha