Mkurugenzi mwingine PSSSF ajikopesha Tsh. Milioni 200 kinyemela

Kwani si atairudisha? Wamuulize atairudishaje basi vinginevyo utashangaa wanamfukuza na anatokomea nazo agahahha
 
Sasa hv nafuatilia hizi kesi ili nijue kozi muhim za kusoma hii nchi. Ili hata wanangu wasome waje kula hii keki ya taifa maana its obvious hakuna supervision
  • Kozi yoyote na sahihi yenye nguvu ni dili.
  • Pia uwe na connection yenye nguvu kwenye Chama
 
Tunaumia na hizi tozo halafu kuna mpumbavu mmoja anajichotea kirahisi tu. Serikali imeshindwa kudhibiti myanya ya matumizi mabaya ya pesa na sasa tunaumia sisi. Kesi za hawa jamaa huwa zinaishia hewani tu. Mtu anaiba milioni 20 halafu eti mahakamani anapigwa faini ya mil 4 haingii akilini kbs.
 
Ni Jambo la Faraja kwamba issue hizi tunazipata zikiwa zinachukuliwa hatua, ni wazi kwamba uwezi umeengezeka. Big up Kamati ya maadili na aliyefikisha mashtaka.
 
Ule msemo kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake unatekelezwa balabala..
 
Ukiwaambia nataka mafao yangu wanakwambia mpaka ustafu.yani unatamani kuvaa silaha ufanye yako.kumbe wanatunyima heka zetu huku wanajikopesha? Inatia hasira sana
 
Huyo hakukopa alikuwa kaiba hapo wamejsribu tu ku-diverge.
 
Hawa PSSSF wanatuona Watanzania NI wajinga Sana si ndiyo?
 
Hii mifuko imejaa madudu washa wa kutosha. Hizo fedha zinapigwa kisawasawa..
 
Taifisha mali hiyo. Ishasemwa ni ya UMMA baraza la nini sijui maaana yake nini kutuhadaa na kutuonyesha wanafanya kazi?

TAKUKURU ndio hapo wanahitajika kuingilia na kumfungulia mashitaka Mahakamani
Au...
Atokee mtu wakamshitaki mahakamani. Kesi ya madai. hiyoooo Hana la kupinga huyo JAMBAZI
 
PSSSF ni jamba lingine! Wastaafu na walioachishwa kazi wanapoenda kuchukua pesa zao huwa wanakiona cha mtemakuni!
 
Imagine mtu asiye na akili sawa sawa anachukua milioni 200 anakwenda kununua gari? [emoji848] Hivi unatakiwa kuwa mpumbavu kiasi gani ununue gari la milioni 200 wakati kwa mkundu wake anajua kabisa hiyo hela imechangwa na watanzania kwa kukatwa hela kila mwezi ili waje kulipwa mafao yao mbwa huyu. [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
Kwani si atairudisha? Wamuulize atairudishaje basi vinginevyo utashangaa wanamfukuza na anatokomea nazo agahahha
Anarudisha zitoke wapi mtu amenunua gari? Angekuwa amekwenda kutumia kama mtaji wa biashara tungesema wakae nae awaeleze alipanga kurejesha vipi hela za watu.

Huyu amechukua amenunua gari ina maana hana mpango wa kurejesha ni kama mwanafunzi anayekula ada kwa kuendea club, hizo hela zinarejeshwaje? [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…