DOKEZO Mkurugenzi na Afisa Elimu Kibaha mji: Wamewasimamisha kazi Walimu Watano wa Shule ya Mwambisi Sekondari

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Natafuta kiki

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
911
Reaction score
1,294
Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu.

Mkurugezi kwa kushirikiana na afisa elimu halmashauri ya Kibaha mji wamewasimamisha kazi walimu wapatao watano wa shule moja ya Mwambisi sekondari sekondari iliyopo kata ya Kongowe halmshauri ya mji kibaha kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi.

Mkuu wa shule hiyo pamoja na walimu wengine wanne wamesimamishwa kazi miezi mitatu sasa ili hali watoto wetu pale shuleni wanakosa huduma ya masomo kwa chuki binafsi za afisa elimu. Inasemekana walimu hao wamesimamishwa kazi kwa sababu afisa elimu hamtaki mkuu wa shule hiyo kwa sababu ilifanya vibaya matokeo ya necta 2023.

Hivyo afisa elimu huyo akatengeneza mazingira ya kumuondoa mkuu huyo kwa kuwaingiza kesi za mahusiano na wanafunzi ili awasimamishe kazi, hivyo akamwambia mkurugenzi awasimamishe kazi kwa sababu hiyo.

Tangu amewasimamisha walimu hao sisi wananchi wa kata ya Kongowe tulijaribu kufanya upelelezi kujua ukweli wa jambo hilo tukabaini ni tuhuma za kutengenezwa ili kumuondoa mkuu wa shule .

Sisi kama wazazi na walezi wa shule tumesikitishwa sana na yanayoendelea shuleni hapo ili hali watoto hawasomi baadhi ya masomo kwa upuuzi wa Afisa elimu.

Soma Pia: Afisa Elimu kata ya Kasekese anatumia madaraka yake vibaya, Serikali tunaomba mtuondolee

Tunaomba ujumbe huu umfikie waziri wa elimu # TAMISEMI # Waziri Mkuu#
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Mje mjionee wasaidizi wenu huku wanayoyafanya kudidimiza ELIMU.
 
Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu.
Mkurugezi kwa kushirikiana na afisa elimu halmashauri ya Kibaha mji wamewasimamisha kazi walimu wapatao watano wa shule moja ya Mwambisi sekondari sekondari iliyopo kata ya Kongowe halmshauri ya mji kibaha kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi.
Mkuu wa shule hiyo pamoja na walimu wengine wanne wamesimamishwa kazi miezi mitatu sasa ili hali watoto wetu pale shuleni wanakosa huduma ya masomo kwa chuki binafsi za afisa elimu.
Inasemekana walimu hao wamesimamishwa kazi kwa sababu afisa elimu hamtaki mkuu wa shule hiyo kwa sababu ilifanya vibaya matokeo ya necta 2023.
Hivyo afisa elimu huyo akatengeneza mazingira ya kumuondoa mkuu huyo kwa kuwaingiza kesi za mahusiano na wanafunzi ili awasimamishe kazi, hivyo akamwambia mkurugenzi awasimamishe kazi kwa sababu hiyo.
Tangu amewasimamisha walimu hao sisi wananchi wa kata ya Kongowe tulijaribu kufanya upelelezi kujua ukweli wa jambo hilo tukabaini ni tuhuma za kutengenezwa ili kumuondoa mkuu wa shule .
Sisi kama wazazi na walezi wa shule tumesikitishwa sana na yanayoendelea shuleni hapo ili hali watoto hawasemi baadhi ya masomo kwa upuuzi wa afisa elimu.

Tunaomba ujumbe huu umfikie waziri wa elimu # TAMISEMI # Waziri Mkuu#
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania

Maelezo yako haya make sense hata kidogo!
 
Wewe ni mwalimu,.... Hakuna mzazi ambaye mtoto wake anasoma.shule ya kata mwenye uchungu kama uliouonesha hapa
 
Km mnaona mmeonewa au hamjui kosa la kusimamishwa kazi andikeni barua Kwa Mkurugenzi ya kuomba ufafazi au nendeni mahakamani mkamsue mwajiri wako
 
Back
Top Bottom