Natafuta kiki
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 911
- 1,294
Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu.
Mkurugezi kwa kushirikiana na afisa elimu halmashauri ya Kibaha mji wamewasimamisha kazi walimu wapatao watano wa shule moja ya Mwambisi sekondari sekondari iliyopo kata ya Kongowe halmshauri ya mji kibaha kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi.
Mkuu wa shule hiyo pamoja na walimu wengine wanne wamesimamishwa kazi miezi mitatu sasa ili hali watoto wetu pale shuleni wanakosa huduma ya masomo kwa chuki binafsi za afisa elimu. Inasemekana walimu hao wamesimamishwa kazi kwa sababu afisa elimu hamtaki mkuu wa shule hiyo kwa sababu ilifanya vibaya matokeo ya necta 2023.
Hivyo afisa elimu huyo akatengeneza mazingira ya kumuondoa mkuu huyo kwa kuwaingiza kesi za mahusiano na wanafunzi ili awasimamishe kazi, hivyo akamwambia mkurugenzi awasimamishe kazi kwa sababu hiyo.
Tangu amewasimamisha walimu hao sisi wananchi wa kata ya Kongowe tulijaribu kufanya upelelezi kujua ukweli wa jambo hilo tukabaini ni tuhuma za kutengenezwa ili kumuondoa mkuu wa shule .
Sisi kama wazazi na walezi wa shule tumesikitishwa sana na yanayoendelea shuleni hapo ili hali watoto hawasomi baadhi ya masomo kwa upuuzi wa Afisa elimu.
Soma Pia: Afisa Elimu kata ya Kasekese anatumia madaraka yake vibaya, Serikali tunaomba mtuondolee
Tunaomba ujumbe huu umfikie waziri wa elimu # TAMISEMI # Waziri Mkuu#
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Mje mjionee wasaidizi wenu huku wanayoyafanya kudidimiza ELIMU.