TANZIA Mkurugenzi Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dk. Abdul Mussa afa ajalini

Pamoja na Hilo hiko kipande cha Kibaha Pwani nacho kinaongoza kwa ajali, lazima kuna engineering errors ambazo hatujawahi kukaa chini kuulizana.. Why njia hiyo ina ajali nyingi sana
 
Pamoja na Hilo hiko kipande cha kibaha pwani nacho kinaongoza Kwa ajali lazima kuna engineering errors ambazo hatujawahi kukaa chini kuulizana ..why njia hiyo ina ajali nyingi sana
Huenda ilijengwa na wanafunzi wa field.... Na mbaya zaidi hakuna wa kufanya hii research zaidi ya siasa.
 
Wakili Mkuu wa serikali?

Mungu amsamehe kama alibambikia watu kesi.

R.I.P Dokta.
 
Pamoja na Hilo hiko kipande cha kibaha pwani nacho kinaongoza Kwa ajali lazima kuna engineering errors ambazo hatujawahi kukaa chini kuulizana ..why njia hiyo ina ajali nyingi sana
Umenena vema mkuu hizi barabara zetu zimejengwa bila kujimuisha utaalam, pia hawa madereva wengi wapo above traffic laws wakiwa barabarani, they don't take a shit, wao kwao ni speed tu, hawajui slow &fast corners, hawajui breaking points zake na haya ndio matokeo yake, dereva huyu kagonga Lori kwa nyuma, hii sio rocket science alikua speed, no good following distance, na why police wamshikilie dereva wa Lori ambaye amegongwa kwa nyuma?au kwa sababu ya kigogo nhe!
 
Hakuna cha kuchunguza hapo. Hawa madereva wa Serikali wameamua kutumia plate number kuendesha magari na sio kufuata sheria za barabarani.

Hawajali foleni, hawajali ishara za taa as plate number ni St, Dfp, Sm basi sheria za barabarani hazipo tena. Huu ni uzembe na ulegevu wa polisi.
 
Kama kuna madereva wanasoma vizuri na kila mara wanarudi short course ni hawa wa Serikali shida ni hao maboss wao ndio wanawapa viburi..
 
Waliwatoa madreva wa vyeti FEKI wanaojuwa kuendesha wakawaleta madreva wenye vyeti HALISI wasiojua kuendesha. Matokeo ndiyo haya
Lakini hata hizi movements za Dar-Dodoma kwa viongozi wa Serikali zinachangia sana, wewe fikiria mtu anaendesha gari usiku kucha.
 
Ukaguzi wa vyeti kwa madereva wa Serikali ufanyike upya!
 
Lakini hata hizi movements za dar dodoma kwa viongozi wa serikali zinachangia sana wewe fikiria mtu anaendesha gari usiku kucha
Dar to Dodoma ni less than 6hrs comfortable drive, uchovu utoke wapi wa kuendesha usiku kucha? Barabara ni mbovu, bucket hii inaishia hapa, barabara ni mbovu, Lusaka to Livingstone ni 550km, sprinter zinatambaa kwa 4 to 5 hrs,....barabara ni safi!
 
Polisi wetu sijui wanafikiria kutumia kiungo gani. Nina uhakika sio ubongo.
Dereva wa Howo gari yake imegongwa kwa nyuma na dereva wa serikali mwenye upesi. Sasa mnamshikilia dereva wa Howo kwa kosa gani?
Mlitegemea dereva wa Howo afanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…