ulimi waupanga
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 493
- 1,223
Walitaka akae pembeni mkurugenzi apite!!!!!!Polisi wetu sijui wanafikiria kutumia kiungo gani. Nina uhakika sio ubongo.
Dereva wa Howo gari yake imegongwa kwa nyuma na dereva wa serikali mwenye upesi. Sasa mnamshikilia dereva wa Howo kwa kosa gani?
Mlitegemea dereva wa Howo afanyaje?
Hili swala lilinishangaza, kazi kama udereva ni kazi inayohitaji experience zaidi, waliwaoneaWaliwatoa madreva wa vyeti FEKI wanaojuwa kuendesha wakawaleta madreva wenye vyeti HALISI wasiojua kuendesha. Matokeo ndiyo haya
Mkuu hapo wanataka kuonekana kama wanawajibika, na utashangaa wanamsumbua na hatatoka bila kitu kidogoPolisi wetu sijui wanafikiria kutumia kiungo gani. Nina uhakika sio ubongo.
Dereva wa Howo gari yake imegongwa kwa nyuma na dereva wa serikali mwenye upesi. Sasa mnamshikilia dereva wa Howo kwa kosa gani?
Mlitegemea dereva wa Howo afanyaje?
Kwelii nilikuwa napandaga SU zimezidi jamani dahMadereva wa serikali hawanaga mwendo mdogo......hawana alama za barabarani, hawana Sheria yoyote ile!
Shidaa Sio madereva shidaa maboss wao wanakua na haraka mnoooMadereva wa Serikali sijui wanapatikana kwa njia gani. Fikra zangu zinanituma kuwa hawa madereva wa Serikali kama ilivyo kwa watumishi wengi wa Serikali, wanapatikana kwa njia ya vimemo na siyo weledi.
Yaani gari ya Serikali iwapo barabarani ni potential hazard kwa watumiaji wengine wote wa barabara.
Madereva wa magari ya Serikali, kabla ya kuajiriwa wapelekwe chuo maalum, na iwepo kampuni maalum ya kuwafanyia grading.
Poleni sana wafiwa.
Tunamwomba Mungu wa huruma amjalie pumziko jema la milele.
Haya ndio madhara ya kuwa na ofisi mbili mbili katika nchi yenye pato dogo...Lakini hata hizi movements za dar dodoma kwa viongozi wa serikali zinachangia sana wewe fikiria mtu anaendesha gari usiku kucha
Kwani mabasi na magari yanayopata ajali kila uchao huwa yanaendeshwa na madereva wa Serikali?Madereva wa Serikali sijui wanapatikana kwa njia gani. Fikra zangu zinanituma kuwa hawa madereva wa Serikali kama ilivyo kwa watumishi wengi wa Serikali, wanapatikana kwa njia ya vimemo na siyo weledi.
Yaani gari ya Serikali iwapo barabarani ni potential hazard kwa watumiaji wengine wote wa barabara.
Madereva wa magari ya Serikali, kabla ya kuajiriwa wapelekwe chuo maalum, na iwepo kampuni maalum ya kuwafanyia grading.
Poleni sana wafiwa.
Tunamwomba Mungu wa huruma amjalie pumziko jema la milele.
Tatizo sio madereva.Madereva wa Serikali sijui wanapatikana kwa njia gani. Fikra zangu zinanituma kuwa hawa madereva wa Serikali kama ilivyo kwa watumishi wengi wa Serikali, wanapatikana kwa njia ya vimemo na siyo weledi.
Yaani gari ya Serikali iwapo barabarani ni potential hazard kwa watumiaji wengine wote wa barabara.
Madereva wa magari ya Serikali, kabla ya kuajiriwa wapelekwe chuo maalum, na iwepo kampuni maalum ya kuwafanyia grading.
Poleni sana wafiwa.
Tunamwomba Mungu wa huruma amjalie pumziko jema la milele.
Tumia lugha nzuri utaeleweka tu.Kumshikilia mtu linapotokea tendo la uhalifu ni suala la kawaida.Inawezekana unafikiria kuwa kila kushikiliwa na Polisi ni kukaa mahabusu.Inawezekana hayuko mahabusu isipokuwa anaandikisha maelezo halafu ataachiwa kwa dhamana.Polisi wetu sijui wanafikiria kutumia kiungo gani. Nina uhakika sio ubongo.
Dereva wa Howo gari yake imegongwa kwa nyuma na dereva wa serikali mwenye upesi. Sasa mnamshikilia dereva wa Howo kwa kosa gani?
Mlitegemea dereva wa Howo afanyaje?
Imagine. Tulitaka kupunguza matumizi.Haya ndio madhara ya kuwa na ofisi mbili mbili katika nchi yenye pato dogo...
Kila siku magari ya Serikali ni safari za Dar - Dodoma... Mbaya zaidi hizi ajali toka 2017 zipo nyingi sana...
Maofisa wa Serikali wana ofisi mbili... Dar na Dodoma...
Madereva kazi wanayo... Kila siku safari na mafuta Serikali inagharamia..
Hapo sijazungumzia pia kuwa na Ikulu mbili zenye hadhi sawa... Utaona leo uteuzi Dar... Kesho uapisho Dodoma.. Hapo unakuta woootee kuanzia waziri mkuu, makamu nk wanaenda Dodoma...
Matumizi ni makubwa sana kwa viongozi hasa kwenye kusafiri
nI Mtaalamu wa TEHAMANgoja akakutane na wanasheria wenzie uko mbinguni.
Ndumba