Mkurugenzi TPA: Mkataba wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ungeifilisi Tanzania

chunga huto tudole twako unatotutumia kuandika wakitukata utakuwa unaandikia vidole vya mguu hapo ndipo utakapolia kwa kwikwi na kamasi nyingi
 
Na utaendelea Kuteseka hadi 2025
 
Uwezi kumkubali uyo uliyemuita majina mengi,je lengo lako la ku post hii habari ni nini,upo na wachina au na wale waliogoma kusaini mkataba wa Ki Karl Peter?
 
Hongera Sana Mh. Rais kwa maamuzi ya kizalendo.
 
hayo masharti mapya 14 waliyaleta wakati wa Mkwere au awamu hii?
 
Waulizeni Sri Lanka walivyo sasa baada ya kupokea mikopo toka China ndo utafahamu nini kinaendelea.
 
Kama ni hayo haikuwa powa hata kidogo, hata hivyo natega sikio huwenda na mwekezaji atakuja hapa tutamsikia alikuwa amekubaliana vipi na mwenyeji, hapo ndipo mtu utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuunga mkono au kuto unga mkono wa kilichotokea.
 
Umkubali/ umkatae, haitamsaidia kitu. Yeye yupo ikulu anapiga kazi tu
 
Kwa akili yako fupi. Mtu hakubaliki hivyo anahofia uchaguzi huru na wakati. Hujui haki yako kama raia ndiyo sababu unaandika pumba.

Umkubali/ umkatae, haitamsaidia kitu. Yeye yupo ikulu anapiga kazi tu
 
Majina yote niliyomuita upo ushahidi wa kutosha wa kuthibitisha hayo majina. Mwizi, fisadi, muongo, dikteta, nduli, mtekaji, mtesaji na pia MUUAJI.


Uwezi kumkubali uyo uliyemuita majina mengi,je lengo lako la ku post hii habari ni nini,upo na wachina au na wale waliogoma kusaini mkataba wa Ki Karl Peter?
 
Mie na weye zwazwa nani anamuunga mkono mwendawazimu? Akili za wapi hadi ufikie kumuunga mkono kichaa?

Jiongeze ili upambane na hali yako



Sio ukoo wenu ? zwazwa mkubwa wewe!
 
Hahahahahaha common sense is not very common after all. Pumbavu mkubwa.

Normally a Zwazwa hides his ID due to luck of confidence and integrity.
 
It is not about making me happy, it is about telling the truth about the dictator in SH who is destroying our beloved country in so many ways. Listen to this link here below.

Stand up for your country against these hooligans in the government in order to be counted.


It it makes you happy, continue!
 
Magufuli ni mnafiki wa kiwango cha mbinguni yaani yeye akiwa waziri wa ujenzi alisaini mkataba huo kwa niaba ya nchi leo anageuka kutaka kiki yeye na Jakaya Kikwete wangefirisi nchi mchana peupe maajabu kweli yaani afanye mwenyewe halafu ajisitukie mwenyewe ya nini kutia nchi nuksi ili atuonekane hatuna msimama kwenye maswala ya uwekezaji,si tangu yupo ujenzi angemshauri raisi au cabinet wasiingie ubiya na hao wachina na hao waoman
 
Just because JPM made a right move here does not mean he is "the best for this country"..even a broken clock is right twice a day. He is still on track to be one of the worst leaders this country has ever had
After all Magufuli was part of the thugs, i mean the Jakaya Kikwete cabinet included him holding a key Ministry ,so he is equally a squander of the national resources
 
Serikali ya magufuli sio ya kuiamini maana ni wapishi wazuri wa uwongo
Magufuli was one of the master minders of the Bagamoyo project asingeacha kuwemo wakati alikuwa wizara ya ujenzi na mawasiliano inayohusisha bandari
 
Magufuli was one of the master minders of the Bagamoyo project asingeacha kuwemo wakati alikuwa wizara ya ujenzi na mawasiliano inayohusisha bandari
Magufuli sio mtu wa kumuamini hata kidogo
 
Kwa akili yako fupi. Mtu hakubaliki hivyo anahofia uchaguzi huru na wakati. Hujui haki yako kama raia ndiyo sababu unaandika pumba.
Wewe na wahuni wenzio ndiyo mnamkataa
Ila kwa watu makini wenye akili ndefu ya kuona mbele huyo ndo kiongozi tunayemtaka kipindi hiki
Tangu lini nyinyi mkaamini uchaguzi huru! Maana kila uchaguzi mnaibiwa
Subirini uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu ndiyo muone picha halisi ya mwaka kesho uchaguzi mkuu
 
Ndiyo maana huwa tunasema mikataba iwe wazi ili kila mtu ajue tunakubali au kukataa nini. Sasa hapo bila kuuona huo mkataba mimi bado siamini lolote mpaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…