EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
chunga huto tudole twako unatotutumia kuandika wakitukata utakuwa unaandikia vidole vya mguu hapo ndipo utakapolia kwa kwikwi na kamasi nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na utaendelea Kuteseka hadi 2025Siwezi kumkubali mwizi, mtoa na mpokea rushwa, fisadi, muongo, anayedharau katiba, bunge na mahakama, asiyetaka kukosolewa, mtekaji, anayedhulumu wakulima na wafanyakazi, mtesaji na MUUAJI. Hata kwa sekunde moja siwezi kumkubali huyo nduli na dikteta.
Uwezi kumkubali uyo uliyemuita majina mengi,je lengo lako la ku post hii habari ni nini,upo na wachina au na wale waliogoma kusaini mkataba wa Ki Karl Peter?Siwezi kumkubali mwizi, mtoa na mpokea rushwa, fisadi, muongo, anayedharau katiba, bunge na mahakama, asiyetaka kukosolewa, mtekaji, anayedhulumu wakulima na wafanyakazi, mtesaji na MUUAJI. Hata kwa sekunde moja siwezi kumkubali huyo nduli na dikteta.
Waulizeni Sri Lanka walivyo sasa baada ya kupokea mikopo toka China ndo utafahamu nini kinaendelea.Ndugu Chamoto,BAK hajasema kuwa anamkubali Magufuli bali anajaribu kutupasha kuhusiana na mustakabali wa taifa kwa sababu ni wajibu wake kama Raia na hii inadhihirisha kuwa hata kama wewe ni mpinzani tukija kwenye swala kubwa kama hili inatubidi tu kusimama kidete maana tungefilisiwa Watz tungekosa hata pa kunyea.
Mchina hajali mlikuwa marafiki kwa mda gani yeye maslahi mbele
Kama ni hayo haikuwa powa hata kidogo, hata hivyo natega sikio huwenda na mwekezaji atakuja hapa tutamsikia alikuwa amekubaliana vipi na mwenyeji, hapo ndipo mtu utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuunga mkono au kuto unga mkono wa kilichotokea.Bandari ya Bagamoyo ingefilisi, kuuza nchi
Sunday May 19 2019
![]()
Kwa ufupi
Pamoja na kusamehewa kodi na ushuru mbalimbali kama zile za lazima kisheria, kulipwa fidia ya hasara ya kibiashara watakayopata kwa mujibu wa mahesabu yao, mwekezaji pia aliweka sharti la kuachiwa ajipangie bei ya kuwatoza watakaosafirisha mizigo kupitia bandari hiyo,.
By Peter Saramba na Jonathan Mussa, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz
Mwanza. Wakati Watanzania wa kawaida, wabunge na Spika Job Ndugai wakiendelea kujiuliza kwanini Serikali imesitisha majadiliano kuhusu uwekezaji kwenye mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, imebainika kuwa Serikali ingefilisika iwapo ingekubali masharti ya mwekezaji.
Pamoja na kusamehewa kodi na ushuru mbalimbali kama zile za lazima kisheria, kulipwa fidia ya hasara ya kibiashara watakayopata kwa mujibu wa mahesabu yao, mwekezaji pia aliweka sharti la kuachiwa ajipangie bei ya kuwatoza watakaosafirisha mizigo kupitia bandari hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Deusdedith Kakoko akizungumza leo Jumapili Mei 19,2019 na Mwananchi katika mahojiano maalumu Jijini Mwanza, amesema licha ya Serikali kukubali kusamehe ushuru wa stempu, ukaguzi wa forodha (customs inspection) ile ya ukaguzi wa meli ambayo ni tozo ya Kimataifa na kufungua kituo (one stop center) cha kuhudumia biashara katika bandari ya Bagamoyo, mwekezaji aliibua masharti mengine mapya 14 yasiyotekelezeka.
Kakoko ametaja masharti mapya yaliyoibuliwa na mwekezaji kuwa ni ya kusamehemewa kodi ya mapato, kodi ya taasisi, kodi ya ongezeko la thamani ya mali, kodi ya mapato kwa watu binafsi, ushuru wa Seriali za mitaa na kodi ya majengo.
“Mwekezaji pia alitoa mashari ya kusamehewa tozo ya ardhi, kodi ya fidia kwa wafanyakazi, kodi ya uendelezaji wa ujuzi, kodi ya forodha na kodi ya ongezeko la thamani, VAT.
“Walitaka wasamehewe kodi, ushuru na tozo zote za vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini; hii ingesababisha wageni, hata wasiohitajika wala kuwa na kazi ya kufanya kujazana nchini,” amesema Kakoko.
Amesema mwekezaji aliweka masharti hayo kwa kisingizio kwamba hakuna shehena ya kutosha na kuhoji inakuwaje mwenye fedha awekeze kwenye biashara isiyolipa.
“Hakuna shehena ya kutosha wakati wewe (mwekezaji) unataka kuwekeza kwenye reli na bandari. (Ni lazima) Unakuja kwa sababu biashara ipo” amesema Kakoko
Amesema masharti hayo yangekubaliwa, ni dhahiri Taifa lingeambulia sifuri huku mwekezaji akichukua asilimia 100 ya kila kinachopatikana licha ya ukweli kwamba pande zote zimewekeza.
Mkurugenzi Mkuu huyo ametaja ardhi, rasilimali watu na nguvu kazi pamoja na mazingira bora ya uwekezaji uliopi nchini kuwa ni sehemu ya uwekezaji wa Serikali huku mwekezaji akitakiwa kuleta mtaji.
“Wakilegeza masharti na kukubali tugawane sawa sawa hakuna tatizo; waje na fedha zao. Lakini wahakikishe nasi tunapata. Haiwezekani sisi tupate sifuri lakini wao wapate asilimia 100,” amesema
Umkubali/ umkatae, haitamsaidia kitu. Yeye yupo ikulu anapiga kazi tuSiwezi kumkubali mwizi, mtoa na mpokea rushwa, fisadi, muongo, anayedharau katiba, bunge na mahakama, asiyetaka kukosolewa, mtekaji, anayedhulumu wakulima na wafanyakazi, mtesaji na MUUAJI. Hata kwa sekunde moja siwezi kumkubali huyo nduli na dikteta.
Uwezi kumkubali uyo uliyemuita majina mengi,je lengo lako la ku post hii habari ni nini,upo na wachina au na wale waliogoma kusaini mkataba wa Ki Karl Peter?
It it makes you happy, continue!Hahahahahaha common sense is not very common after all. Pumbavu mkubwa.
It it makes you happy, continue!
After all Magufuli was part of the thugs, i mean the Jakaya Kikwete cabinet included him holding a key Ministry ,so he is equally a squander of the national resourcesJust because JPM made a right move here does not mean he is "the best for this country"..even a broken clock is right twice a day. He is still on track to be one of the worst leaders this country has ever had
Magufuli was one of the master minders of the Bagamoyo project asingeacha kuwemo wakati alikuwa wizara ya ujenzi na mawasiliano inayohusisha bandariSerikali ya magufuli sio ya kuiamini maana ni wapishi wazuri wa uwongo
Magufuli sio mtu wa kumuamini hata kidogoMagufuli was one of the master minders of the Bagamoyo project asingeacha kuwemo wakati alikuwa wizara ya ujenzi na mawasiliano inayohusisha bandari
Wewe na wahuni wenzio ndiyo mnamkataaKwa akili yako fupi. Mtu hakubaliki hivyo anahofia uchaguzi huru na wakati. Hujui haki yako kama raia ndiyo sababu unaandika pumba.