Mkurugenzi TPA: Mkataba wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ungeifilisi Tanzania

Makini mwingine huyu hapa pimbi wewe! Alipokuwa na akili timamu hakuogopa kutamka haya leo hii THUBUTU!!!!


 
Ni kweli ni wa hovyo kwa wapiga dili maana anawapiga kweli kweli.
kama ni hivyo bas ni afadhari walivyopiga chini huo mradi, ILA UKWELI UTABAKI PALEPALE KUA MAGUFULI NI RAIS WA HOVYO KUWAHI KUTOKEA KTK HISTORIA YA NCHI HII, ova.
 
Hivi kuna mtu anaweza amani uongo uliokubuhu wa namna hiyo; in other words kwa mujibu wa nakala mwekezaji anataka kuchukua mapato ya bandari yeye pekee.

Hilo linawezekana vipi wakati mwekezaji anaelewa hiyo sector ni moja ya chanzo kikubwa cha mapato ya serikari (surely the couldn't be stupid).
 
Usiniwekee maneno yako mdomoni mwangu.Eti namkubali huyo fisadi kwa shingo upande? [emoji15][emoji15][emoji15]Vipi wewe!? Usilazimishe kisichokuwepo wala ambacho hakitakuja kutokea eti mimi nimkubali huyo nduli wa Ikulu.

na hizo ndege alizonunua na nyinyi mnapanda kwenda mwanza kanunua kwa mshahara wake jibu hapana kwa hiyo hiyo trillion 1.5 matumizi yake ni kwenye kununua ndege
 
Acha kukurupuka, kama hujui kitu uliza badala ya kuandika pumba. Pesa za kununua ndege $465 millions hazina uhusiano wowote na pesa zilizokwapuliwa toka hazina.

na hizo ndege alizonunua na nyinyi mnapanda kwenda mwanza kanunua kwa mshahara wake jibu hapana kwa hiyo hiyo trillion 1.5 matumizi yake ni kwenye kununua ndege
 
Hizi ni sarakasi za ajabu sana.

Yaani hawa watu wanataka kutuaminisha kwamba Kikwete na serikali yake walikuwa wajinga kiasi kile?

Ni wapi ambapo mwekezaji alikwenda kuwekeza na kutoa masharti ya yeye pekee ndio anufaike, na hapo anapowekeza pasiwe na lolote la maana linalotokana na mradi huo wa uwekezaji?

Yaani hata kama waTanzania mmekwishawaona kuwa mazuzu wa kuamini kila kitu mnachokisema, jaribuni kuwa na 'moderation' basi katika kuwahadaa huko!

Mwekezaji pekee ndie anayenufaika, ina faida gani ya kumleta mwekezaji huyo? Hivi hawa waChina wamekuwa mashetani sana hivi toka lini? Halafu, inakuwaje waje na dharau kiasi hiki wanapokuja kuwekeza hapa!

Acheni ujuha. Huu ni utapeli wa kijinga. Kama mnatafuta sifa, fanyeni kazi mliyotumwa na wananchi kuifanya kwa uadilifu. Acheni kufanya kazi kwa kutafuta sifa, huku mkitaka wananchi wenu wawe majuha wa kuamini kila kitu mnachosema nyinyi.

Na wanapokataa kufanywa wajinga, msiwaone kuwa ni maadui kwa nchi wanayoipenda sana.

Hata mwandishi wa makala hiyo, sijui kichwani ni kopo tupu, utaandikaje makala inayolalia upande mmoja tu, usijaribu hata kudadisi kidogo upate ya upande wa pili?

Waandishi kama hawa ndio serikali inaowapenda sana. Wanakopi tu basi, hawana la ziada!
 
Mkataba ulikubaliwa na Nan, hakukuwa na wanasheria? Au ndo Yale Mambo ya kujifungia mjengoni na kusaini then likibuma mnakuja nje kutafuta Kiki kwa watu wenye narrow mind?( Haha amekuja mwizi anataka kuiba kwako unamkimbiza then unachukuwa maiki na kutangaza mtaa mzima kuwa umefukuza mwizi nyumbani kwako upongezwe). VP upande ambao hamjafanikiwa mbona hamusemi? Mfano 495m kuchora nembo, sare , maazimio ya CAG ambayo hayajatekelezwa nk
 

Ahsante Mtanzania mwenzangu.
Sasa tunageuzwa kuwa kama majuha hivi, ili mradi tuwasifie 'wazalendo' wetu wapya. Inashangaza sana!

Na unaona baadhi ya wachangiaji ndani ya mjadala huu walivyo..., sijui akili huwa wanaziacha wapi wanapokuja humu?
 
Ahsante Mtanzania mwenzangu.
Sasa tunageuzwa kuwa kama majuha hivi, ili mradi tuwasifie 'wazalendo' wetu wapya. Inashangaza sana!

Na unaona baadhi ya wachangiaji ndani ya mjadala huu walivyo..., sijui akili huwa wanaziacha wapi wanapokuja humu?
Kwa blind supporters wa serikari maamuzi yaliyochukuliwa yanatakiwa kuwa ya uzalendo kwa ivyo kuhalalisha hilo kila aina ya uongo unaruhusiwa ilimradi ipatikane justification kilichofanyika ni sahihi.

Wasicho elewa hili sio swala la siasa ni mustakabali wa taifa, biashara na uchumi wa Tanzania na nchi za jirani. Hakuna anaekataa maamuzi ya serikari yanaweza kuwa sahihi au la kutokana na maslahi yaliyopo na yatakayopotea.

Muhimu ni kuona kipi tunapata na kipi tunapoteza based on finance evidence. Lakini mtu anaandika uongo mpaka unaona hizi sasa dharau kwa watanzania katika uwezo wetu wa kufikiri ata maswala basic.
 
Sasa kaka huyu supika Anália mbele yetu hajui,sisi watz wa kawaida itakuaje? kiongozi kama huyu amekaliaje hichi kiti CCM ebu ondoa huu mdori.huu mkataba wa ovyo, beberu huyu si wa kwenu kabisa anataka kurudisha misaada anayowapa chama cha kijani.
 
Na je mkataba huo au masharti hayo yangedunu kwa miaka mingapi ??
 
BAK. Amekubali kuwa lipo jema limefanywa awamu hii ya 5 na sasa anaeleza pia hisia zake za mabaya ya awamu hii ya 5. Kimsingi yuko 50/50 . Ndio ubinadamu wakati wengine wako addicted negatively na awanu hii wapo pia positve addicted, wakati wengine wakiona Magu.,.. hata kabla hawajamalizia herufi zinafuata presha, kisukari, mihemko, kichocho,stress , Ukimwi hadi TB zinawapata papo hapo wengine mitaa niliopo ndio kwaanza wanaita watoto wao wanaozaa jina la Magufuli yaani hata awe wa kike kwa upenzi wao.
 
Acha kupotosha msimamo wangu kuhusu huyu nduli wa Ikulu. Kama huna la maana la kuchangia pita kimya kimya.

 
Acha kupotosha msimamo wangu kuhusu huyu nduli wa Ikulu. Kama huna la maana la kuchangia pita kimya kimya.
Uzi wako unamsifu mkuu kiaina. Kama umekula buku7 halafu unawasaliti watakudai
 
Kwa akili zako fupi unataka kulazimisha hivyo. Siwezi kumsifu huyo muuaji hata kwa nusu sekunde.

Uzi wako unamsifu mkuu kiaina. Kama umekula buku7 halafu unawasaliti watakudai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…