bulicheka 3
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 599
- 557
Hii mikataba inayo wekwa na kutolewa fedha na familia mnauhakika gani itaiacha nchi salama?Bandari ya Bagamoyo ingefilisi, kuuza nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mikataba inayo wekwa na kutolewa fedha na familia mnauhakika gani itaiacha nchi salama?Bandari ya Bagamoyo ingefilisi, kuuza nchi
Sasa si heri mimi kuliko wewe kazi ni kusifia ujinga na pumba tupu?Akili kwako ni kubandika mada ishirini kwa siku kuhusu Iran?
Umeuona huo mkataba na kuusoma na kuona alichosema Kakonko ndio kilichopo!?BAK usiwe mnafiki still Rais Magufuli is the best for this country. Nani angeweza kukataa huo mktaba mbovu kama sio Rais Magufuli.
Au sometimes una smoke ile sigara kubwa
Mpaka niuone na kuusoma ndio nitatoa pongezi zangu. Kuna mtu anaendelea kutuaminisha kwamba awamu zilizopita zilikuwa ni za "bora liende" na kwamba yeye ndiye anayeona makorongo na kuyaziba.Huo mkataba uko wapi ?
Basi, una kihere here wewe si bure.Sasa si heri mimi kuliko wewe kazi ni kusifia ujinga na pumba tupu?
Hawawezi kukubali mana wanajua kuwa ni hila tu zinafanyika.Ingekuwa Bunge letu ni dhabiti lingeita mkataba huo bungeni ili wauchambue na kuishauri Serikali lkn bunge letu ndio hivyo tena
Waje na mkataba tuone kilichomo,kwanini ni siri?Jk alikubali
Ndiyo Ukweli Wenyewekama ni hivyo bas ni afadhari walivyopiga chini huo mradi, ILA UKWELI UTABAKI PALEPALE KUA MAGUFULI NI RAIS WA HOVYO KUWAHI KUTOKEA KTK HISTORIA YA NCHI HII, ova.
Mikataba hurekebishwa, kama ambavyo tunaamini Mama Samia atafanya.kama ni hivyo bas ni afadhari walivyopiga chini huo mradi, ILA UKWELI UTABAKI PALEPALE KUA MAGUFULI NI RAIS WA HOVYO KUWAHI KUTOKEA KTK HISTORIA YA NCHI HII, ova.
Ongeza Kikwet ambaye ndie mpishiNdugai ndiyo anatetea mkataba huu wa hovyo, hapa ndiyo tunazidi kumfahamu ndugai