Mkurugenzi TPA: Mkataba wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ungeifilisi Tanzania

Mkurugenzi TPA: Mkataba wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ungeifilisi Tanzania

BAK usiwe mnafiki still Rais Magufuli is the best for this country. Nani angeweza kukataa huo mktaba mbovu kama sio Rais Magufuli.
Au sometimes una smoke ile sigara kubwa
Umeuona huo mkataba na kuusoma na kuona alichosema Kakonko ndio kilichopo!?
 
Huo mkataba uko wapi ?
Mpaka niuone na kuusoma ndio nitatoa pongezi zangu. Kuna mtu anaendelea kutuaminisha kwamba awamu zilizopita zilikuwa ni za "bora liende" na kwamba yeye ndiye anayeona makorongo na kuyaziba.
 
Ingekuwa Bunge letu ni dhabiti lingeita mkataba huo bungeni ili wauchambue na kuishauri Serikali lkn bunge letu ndio hivyo tena
 
Ingekuwa Bunge letu ni dhabiti lingeita mkataba huo bungeni ili wauchambue na kuishauri Serikali lkn bunge letu ndio hivyo tena
Hawawezi kukubali mana wanajua kuwa ni hila tu zinafanyika.
Wanadhani kuwa wenzao waliopita walikula 10%.
Wivu tu.
Kila mtu anawaza Mali nyingi kupita kiasi.
Wanasiasa wanajua bila hela za kugawa barabarani hawakubaliki.
Wanahaha kupata mahela.

Wangekua ni wasafi mikataba hiyo wasingeificha uvunguni.
 
kama ni hivyo bas ni afadhari walivyopiga chini huo mradi, ILA UKWELI UTABAKI PALEPALE KUA MAGUFULI NI RAIS WA HOVYO KUWAHI KUTOKEA KTK HISTORIA YA NCHI HII, ova.
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😆😅😄😃😂😁😀
 
kama ni hivyo bas ni afadhari walivyopiga chini huo mradi, ILA UKWELI UTABAKI PALEPALE KUA MAGUFULI NI RAIS WA HOVYO KUWAHI KUTOKEA KTK HISTORIA YA NCHI HII, ova.
Mikataba hurekebishwa, kama ambavyo tunaamini Mama Samia atafanya.
Sababu za kitaalam kurekebisha au kuukataa mradi huo hazikuwahi kutolewa hadharani.
SGR kwani si unatuumia kwa kodi?
Au tunasahau kirahisi rahisi?
Mpeni mama Samia naye muda tuyaone matunda yake.
 
Hawakua na sababu nyingine ya kumuondoa zaidi ya hii.

Ni rahisi sana kujua nani ni gavana Kwa sasa.
 
Wale wote wanaompinga Magu hata kwa yale mema aliyoyatenda katika hii nchi wakapimwe mikojo na akili na wakigundulika positive wawekwe chini ya uangalizi kwa nguvu maana ni hatari kwa ustawi na usalama wa hii nchi
 
Mimi hata sielewi, acha tu kazi iendelee ?🤸‍♂️🐒🤣
 
Back
Top Bottom