JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Treni ya zamani ipo.Je wagogo watapandane sasa!
WahaBora hivo maana zile zakigoma wasukuma wanabeba hadi mbuzi
umeona wasukuma tu sioBora hivo maana zile zakigoma wasukuma wanabeba hadi mbuzi
Umeuona mkeka mpya?Waliopanga nauli za treni ya SGR Ni wamiliki wa mabasi.
Reli imejengwa kwa pesa zetu, MATRENI yamenunuliwa kwa pesa zetu. Umeme tunao wa kumwaga, iweje nauli ziwe juu ya baadhi ya mabasi?
Ulitaka nauli iwe bei gani?Waliopanga nauli za treni ya SGR Ni wamiliki wa mabasi.
Reli imejengwa kwa pesa zetu, MATRENI yamenunuliwa kwa pesa zetu. Umeme tunao wa kumwaga, iweje nauli ziwe juu ya baadhi ya mabasi?
Huko duniani Inasemekana treni ndio usafiri wa gharama nafuu zaidiUlitaka nauli iwe bei gani?
Mnadanganywa na nani? Treni kutoka London to Manchester ni £80-120 ukipanda bus la National Express ilikuwa kama £15. Ndege unaweza kupata cheaper kuliko treni sema. Kuna EasyJet wakati huo trip za within EU unaweza kwenda hata kwa £50. Naongea nikiwa nimetumia sana treni na buses UK over ten years ago.Huko duniani Inasemekana treni ndio usafiri wa gharama nafuu zaidi
Kuna classes katika haya maisha. Jiulize kwanini boat ya kilimanjaro VII ina VIP ambayo gharama mara 3 na ya economy na inajaa. Kama hii treni itaendeshwa vizuri kwa ufanisi mabasi yatapunguza soko labda wahuni waihujumu,maana wamiliki mabasi ni hao hao vigogo wa gavoo.Bado soko la mabasi litakuwa juu,watu wataishobokea treni mwanzo mwanzo kisha wataipotezea