Sasa si bora wangejenga barabara za njia nne hadi nane tu raia waendelee kutiririka na mabasi tu.Mnadanganywa na nani? Treni kutoka London to Manchester ni £80-120 ukipanda bus la National Express ilikuwa kama £15.
Ndege unaweza kupata cheaper kuliko treni sema. Kuna EasyJet wakati huo trip za within EU unaweza kwenda hata kwa £50. Naongea nikiwa nimetumia sana treni na buses UK over ten years ago.
Mueleze mkuu. naona hajawahi kuvuka mipaka ya Tanganyika.Huko duniani Inasemekana treni ndio usafiri wa gharama nafuu zaidi
Manyanyaso yameanza hata kabla ya kuanza safarai. Wasitengeneze mazingira ya kuhujumiwa. 😅Watanzania tunavyopenda mafurushi, sijui!
Kwenye mwendokasi tu watu wanapanda na mafurushi itakuwa treni tena safari ya mkoa kwa mkoa?
HakikaMnadanganywa na nani? Treni kutoka London to Manchester ni £80-120 ukipanda bus la National Express ilikuwa kama £15.
Ndege unaweza kupata cheaper kuliko treni sema. Kuna EasyJet wakati huo trip za within EU unaweza kwenda hata kwa £50. Naongea nikiwa nimetumia sana treni na buses UK over ten years ago.
Hio atajenga mwekezaji mtalipia. Mbona ndege ni ghali hamlalamiki?Sasa si bora wangejenga barabara za njia nne hadi nane tu raia waendelee kutiririka na mabasi tu.
Ha ha ha.Mueleze mkuu. naona hajawahi kuvuka mipaka ya Tanganyika.
Ndege zinatumia muda mfupi sana, hakuna vibaka wala usumbufu wa konda kuulizia tiketi au makelele yoyote.Hio atajenga mwekezaji mtalipia. Mbona ndege ni ghali hamlalamiki?
Maisha yana levels haikwepeki. Wapo wa bus,wapo wa ndege na sasa watakuwepo wa treni. Ni vizuri kuna options utachagua usafiri upi unakufaa.
Huko ni ndegeHuko duniani Inasemekana treni ndio usafiri wa gharama nafuu zaidi
Ni Bora waweke behewa la mizigo, ninavyojua watanzania wenzangu hii ngumu kumeza, pia mizigo ipimwe na kulipiwa above 10kgLabda kama kutakuwa na mizani ya kupima kilo kam Airport
Kuna mizigo ni mikubwa ila kilo chache, mfano godoro.Ni Bora waweke behewa la mizigo, ninavyojua watanzania wenzangu hii ngumu kumeza, pia mizigo ipimwe na kulipiwa above 10kg
Treni inafuatia kwa kutumia muda mfupi,hakuna vibaka wala usumbufu wa konda.Ndege zinatumia muda mfupi sana, hakuna vibaka wala usumbufu wa konda kuulizia tiketi au makelele yoyote.
Wanapanda na samaki wabichi kwenye mwendo kasi!Watanzania tunavyopenda mafurushi, sijui!
Kwenye mwendokasi tu watu wanapanda na mafurushi itakuwa treni tena safari ya mkoa kwa mkoa?
Ha ha ha. Eddy umenivunja mbavu!Na ngerengere tunaruhusiwa kununua nyamachoma madirishani au ni full AC kama katarama?
Wananchi kubeba chakula ni lazima.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuwa wameweka utaratibu kwa abira watakaosafiri na treni ya umeme kwamba hawataruhusu mtu asafiri na mizigo mikubwa au chakula kama ilivyo kwenye treni ya MGR, kwamba lengo la kufanya hivyo ni kutunza mazingira ya usafiri huo ili uweze kudumu kwa miaka mingi
Video: Nipashe Digital
Sasa masaa mawili njaa imekuuma kweli? Ila kutakuwa na wahudumu kama wa emirates airWananchi kubeba chakula ni lazima.
Usafiri siyo suala la kuzuia watu kula.
Wao waweke mazingira safi, me nadhani ni kwa sababu ni mwanzoni tu baadaye hadi kuku na mbuzi tutapanda nao