Mkurugenzi TRC asema Treni ya SGR, NO abiria kubeba vyakula, NO mafurushi makubwa

Sasa masaa mawili njaa imekuuma kweli? Ila kutakuwa na wahudumu kama wa emirates air
Njaa haina masaa, kuna mtu atahisi njaa wakati wengine bado, kuna mwingine ameacha kula kuwahi treni akaona hawezi kukaa chini ale badala yake abebe atakula akikaa. Kwa kifupi safarini kuna kula hilo halina maswali labda kama ni magunia yanasafirishwa
 
Nimeambiwa kuna mgahawa wa maana, sidhani kama itakuwa shida, ila ule ugali wa lowe wa kazuramimba tutaumiss sana
 
safi kabisa!unamafurushifurushi yako kapande basi au train nyingine!msituchafulie treni yetu mpyaa~
 
Huu mradi hadi uje kuanza tutashuhudia mengi hahaa
 
Ushindani hautakuwepo mkuu.
Hiyo ya diesel kila siku inajaza mbona haina ushindani!?
Kasubirie station leo alhamisi uone waliopanda MGR utasema wamepanda bure hadi wengine wamesimama.
 
Mkuu bei za mwaka gani hizo?
 
Yaani nisafiri Toka da es salaam to mwanza bila begi? acheni masihara.dalili za kufeli zimeanza.
 
Yaani nisafiri Toka da es salaam to mwanza bila begi? acheni masihara.dalili za kufeli zimeanza.
sio BEGI. Usibebe mashangazikaja na wale mbuzi wasukuma mmezoea kuwa nao kwenye usafiri wa uma.
 
Sasa Waha itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…