Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatofautishaje maji na Konyagi iliyowekwa kwenye chupa ya maji.... Au wanapaswa kufungua na kutaste kama ni maji kweli..Kwenye kuzuia maji wamedhihirisha ujinga wa kiwango cha lami. Ipo siku watazuia hata vidonge kwa wagonjwa.
Mtanzania ashazoea kuishi kwa mazoeaUnatofautishaje maji na Konyagi iliyowekwa kwenye chupa ya maji.... Au wanapaswa kufungua na kutaste kama ni maji kweli..
Maji yapo ndnai ya Train.... Lazima tukubali kufata utaratibu. Mbona izo lawama hamzileti upande wa ndege, wakati taratibu zinafanana.
wakija kujibu hapa mniue nimeka paleeeeee kwanza jamii wenyewe wamewapa tuzo eti wana respond kwa wakati mambo yakiharibika, hahaaaaaa nacheka kama vile mazuri, nchi ngumu sana hizoKinachoendelea kwenye makatazo kwa abiria wanaopanda treni ya SGR ni kuonesha ushamba na ulimbukeni.
Hili la kukataza mifuko yenye zipu maarufu kama shangazikaja na maji ya kunywa chupa moja! Na vitu vingine visivyokuwa na athari kwa abiria wengine.
Tanzania Railways Corp
Acheni lawama zisizo na kichwa wala miguu.wakija kujibu hapa mniue nimeka paleeeeee kwanza jamii wenyewe wamewapa tuzo eti wana respond kwa wakati mambo yakiharibika, hahaaaaaa nacheka kama vile mazuri, nchi ngumu sana hizo
Alaaaah, kwani pombe Tanzania imekuwa haramu?Ananunua maji anakunywa nusu then anajaza konyagi ndogo, TRC wapo sahihi kwa hilo hata mimi shahidi
Acha kujifanya tajiri, hiyo shangazikaja tatizo lake ni nini!Acheni lawama zisizo na kichwa wala miguu.
Watanzania mna tabia za kichawi za kulalamika katika kila kitu.
Buku ya maji ikushinde kwenye treni!?
Kwani hakuna mabegi proper ya kubeba mbaka ulazimishe shangazi kaja??
Kwani ukiwa na kabegi kako kazuri kuna shida gani!?
Safari yenyewe fupi na haichukui muda kwa kutumia hiyo treni ila mna malalamiko kama wachawi.
Acheni uchawi ndio maana hamuendelei ninyi watanzania.
Pombe inauzwa ndani ya treni.Unatofautishaje maji na Konyagi iliyowekwa kwenye chupa ya maji.... Au wanapaswa kufungua na kutaste kama ni maji kweli..
Maji yapo ndnai ya Train.... Lazima tukubali kufata utaratibu. Mbona izo lawama hamzileti upande wa ndege, wakati taratibu zinafanana.
Dah, sasa mkuu kuingia na Konyagi ni kosa tena. Huo ni usafiri wa kawaida tu sema tuna ulimbukeni tu. Niliona treni moja huko Japan (SGR), kuna route yake moja wakulima na wafugaji wanaingia na mbuzi, kondoo, maparachichi, kuku nk.Shida watu wanaingia na konyagi badala ya maji
Hata reli ya kati, pombe zimo. Hapa inaonesha wengi hawajawahi kusafiri kwa treni, hawana nduguTren ya tazara pombe km zote
Punguza ujuaji, sisi watu weusi tuna matatizo. Hizi treni hata huko kwa wenzetu wamachinga wanaingia kuuzia abiria vitu.Acheni lawama zisizo na kichwa wala miguu.
Watanzania mna tabia za kichawi za kulalamika katika kila kitu.
Buku ya maji ikushinde kwenye treni!?
Kwani hakuna mabegi proper ya kubeba mbaka ulazimishe shangazi kaja??
Kwani ukiwa na kabegi kako kazuri kuna shida gani!?
Safari yenyewe fupi na haichukui muda kwa kutumia hiyo treni ila mna malalamiko kama wachawi.
Acheni uchawi ndio maana hamuendelei ninyi watanzania.
Naunga mkono hojaKinachoendelea kwenye makatazo kwa abiria wanaopanda treni ya SGR ni kuonesha ushamba na ulimbukeni.
Hili la kukataza mifuko yenye zipu maarufu kama shangazikaja na maji ya kunywa chupa moja! Na vitu vingine visivyokuwa na athari kwa abiria wengine.
Tanzania Railways Corp