DOKEZO Mkurugenzi wa AUWSA asaini Mkataba wa kifisadi wa TZS 36.3 Bilion na Mchina bila Ridhaa ya Bodi ya Ununuzi ya AUWSA na wafadhili AfDB

DOKEZO Mkurugenzi wa AUWSA asaini Mkataba wa kifisadi wa TZS 36.3 Bilion na Mchina bila Ridhaa ya Bodi ya Ununuzi ya AUWSA na wafadhili AfDB

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Why should they seek no objection from the financier while it is a variation??? poor Moshi town.
Sio rahisi mkataba wa kifisadi kupita mikonono mwa AG Feleshi, mkataba wa pesa zote hizo lazima upekuliwe na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
 
Sio rahisi mkataba wa kifisadi kupita mikonono mwa AG Feleshi, mkataba wa pesa zote hizo lazima upekuliwe na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Mwanasheria Mkuu aligoma kupitisha MD wa AUWSA akaandika commitment letter ya kubeba Risk.. Feleshi yupo Vizuri ila Vijana wake wa Vetting za Mikataba ndiyo wanamuangusha
 
Why should they seek no objection from the financier while it is a variation??? poor Moshi town.
IQ yako ndogo sana Kama ya kuku . Umesoma makubaliano ya AFDB mission na AUWSA? Umesoma mkataba wa AUWSA na Sinohdro?

Kwanini amkushirikisha Bodi ya wakurugenzi
 
Why should they seek no objection from the financier while it is a variation??? poor Moshi town.
Kama No Objections haitajiki kwanini mliandika Barua ya kuiomba na mkagomewa na Finacier ambaye ni AFDB?

2.Unajua maana ya Variations, Additional work na New Contract?
 
Ndugu Moshi town umeingia choo cha kike ndugu demurrage charges?????? kituko.
Unabishana na mkataba Uliosainiwa Kati ya AUWSA na Sinohdro? Soma kwa sauti kubwa… Soma kipengele hiki hapa chini kwa sauti kubwa jirani yako asikie.

Sinohdro anapaswa kuchajiwa Delay Damages kinyume na Sub-Clause 8.7.1 ya Mkataba ambavyo Mkandarasi alitakiwa kukamilisha kazi tarehe 07 Julai,2022 na utekelezaji wa mradi umefikia 78% na Particular Condition ya mkataba sub-clause 8.7.1 & 14.15.1 (b)-0.1% of the Contract Price per day and Maximum amount of delay deamages -8.7.1- 10% of the final contract price . Kulingana na kazi ambazo hajafanya anatakiwa kwa siku akatwe Tshs 100 Mil(100,000,000) na kama hatakuwa hajamaliza kazi ndani ya siku 100 anatakiwa awe amekatwa Tshs 10 Bil. (10,000,000,000).
 
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Eng Justin Rujomba Tarehe 7.7.2022 amesaini Mkataba wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction wenye thamani ya TZS 36.3 Bilion na Kampuni ya Sinohdro Engineering ya china bila zabuni kutangazwa , Mkataba Ulisainiwa Tarehee 7.7.2022 kisiri bila kushuudiwa na Bodi ya AUWSA, Meneja Mradi Eng Mkawe na Menejimenti ya AUWSA kama utaratibu unavyotaka

Eng Rujomba hakupata Ridhaa ya Tender Board ya AUWSA kusaini Mkataba na wafadhili wa Mradi mkubwa wa Maji.

Arusha Bank ya Maendeleo ya Afrika ( AFDB) ilishatoa maelekezo kwa mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji AUWSA kuwa.

Wasitumie mfumo
Wa single source bali zabuni itangazwe apatikane
Mkandarasi mwenye uwezo lakini Eng Rujomba amekaidi kwa madai kuwa Kuna 10% ya kwake na Viongozi wa Wizara ya Maji.

PPRA Mwezi Novemba 2021 walitoa maelekezo zabuni zote zenye thamani inayozidi 5Milion itangazwe kupitia TANEPS,

Hata hivyo, Bank ya maendeleo Afrika (AFDB) wamegoma kutoa kibali ( No Objection ) ya kusaini Mkataba bila zabuni kutangazwa,

Maswali ya Msingi kwa nini zabuni haikutangazwa? Engineer Rujomba ametumia vigezo gani kuipatia zabuni kampuni ya sinohydro mkataba wenye Fedha nyingi kiasi hiki thamani ya TZS 36.3 bilion ?Kwanini mradi umesainiwa bila kushuudiwa na Wajumbe wa bodi ya AUWSA? kwanini Mradi umesainiwa bila kushuudiwa na Meneja wa Mradi na Menejimenti ya AUWSA? Kwanini mradi umesainiwa kisiri? Kwanini ENG Rujomba amekaidi
Maelekezo ya wafadhili Bank ya AFDB,

Ufisadi huu unafanyika AUWSA katika kipindi cha miezi Mitatau baada ya Kuvunjwa kwa Mkataba wa kifisadi wa Tzs 2.5 Bilion wa Ujenzi wa mfumo wa uondoaji Majitaka wa A to Z. Cha kushangaza walioshiriki kusaini huu mktaba wapo huru wanatamba kuiweka PCCB na wizara ya Maji mfukoni.

Waziri Mkuu , DG wa TAKuKuRu na CAG fanyeni uchunguzi wa mkataba wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction wa AUWSA na Sinohydro muokoe hizi pesa za wananchi maana mwisho wa siku watakaoumia ni wananchi amba ni walipa kodi na wahusika walioshiriki kusaini huu mkataba wachukuliwe hatua za kisheria.
Kama utiaji sahihi ni wa siri kuna tatizo hapo uchunguzi lazima kufanyika.
Ila kutoa kazi kwa single sourcing ni jambo linajulikana ila kuna taratibu zake za vikao relevant sio chief wa kampuni au shirika unakurupuka. Lazima utahusishwa na kula rushwa.
Isitoshe imeshathibitika hata ukitangaza mara nyingi zinafanyika hila wala gharama sio zile za chini kwenye soko.
 
Well said
 
Mkataba kati ya Sinohyro na AUWSA ulisainiwa tarehe 9 Oktoba,2018 na alianza Ujenzi rasmi tarehe 09 Disemba, 2018 na Muda wa Ujenzi wa mradi ulikuwa ni miaka miwili(2) yaani miezi 24. Sinohyro alitakiwa kukabidhi mradi tarehe 08 Disemba,2020 lakini kutokana na Usimamizi mbovu wa kula rushwa wa Mkurugenzi wa AUWSA hakuweza kukamilisha Mradi.

Sinohydro aliomba kuongezewa muda wa miezi nane (8)hadi agosti,2021 akashindwa kukamilisha mradi kwa kuwa usimamizi mbovu wa Kula rushwa wa Mkurugenzi AUWSA.

Sinohydro akaomba kuongezewa muda wa miezi wa miezi minne (4) hadi Disemba, 2021. Akashindwa kukamilisha mradi kwa kuwa na usimamizi mbovu wa Mkurugenzi AUWSA.

Sinohydro akaomba kuongezewa muda wa miezi saba hadi 07 Julai,2022. Mkandarasi akashindwa tena kukamilisha mradi na kukabidhi mradi ili Wananchi wa Jiji la Arusha waanze kutumia maji yaliyo safi na salama ambayo hayana fluoride.

Kazi ambazo sinohydro hajakamilisha ni
Ujenzi wa Visima Ishirini (20) vya Majimoto- Hai ambavyo maji hayana madini ya fluoride.
Ujenzi miundombinu ya Mabomba kutoka kwenye visima 20 hadi PS1: CHEMKA.
Ujenzi wa mashine za kusuma maji kutoka PS1-CHEMKA kwenda PS2-Mbuguni Kwa sasa maji yanasukumwa kutoka visima kumi (10) Mbuguni ambavyo vina fluoride zaidi ya 6mg/l. Wananchi wanakunywa maji yanayosukumwa kutoka PS2 hadi Themi.

Katika Mkataba kati ya AUWSA na Sinohyro unaruhusu Variation-Addendum Sub-Clause 13.1.3 any additional work, plant, Materials or Service necessary for the Permanet works, including Any associatedTests on Completion, boreholes and other testing and exploratory work kipengele kinataka Mkandarasi aongezewe kazi mpya endapo bila Mkandarasi kuongezewa kazi mpya hataweza kukamilisha kazi ya awali na pia hataweza kufanya majaribio ya kazi ya awali kwa kuwa zitakuwa zinategemeana. Kwa kifungu hiki Sinohydro alikuwa hana sifa za kupata Addendum ya Construction of De-fluoridation system at Seedfarm kwa kuwa tayari kashindwa kumaliza kazi ya awali kwa wakati.

Sababu za Mkurugenzi wa AUWSA kumpatia variations(Addendum) ya Construction of De-fluoridation system at Seedfarm kampuni ya Sinohydro ni kama hizi:

Kubadilisha gharama za ujenzi kutoka Tshs 20 Bil. hadi Tshs 36.3 Bil kinyume na Engineering Estimate ili aweze kupata rushwa kutoka kwa Mkandarasi. Zaidi ya Tshs 16. 3 Bil zinakuwa zimeenda kwenye matumbo ya watu, Serikali inakuwa imepata hasara

Kumuokoa Mkandarasi na Delay Damages kinyume na Sub-Clause 8.7.1 ya Mkataba ambavyo Mkandarasi alitakiwa kukamilisha kazi tarehe 07 Julai,2022 na utekelezaji wa mradi umefikia 78% na Particular Condition ya mkataba sub-clause 8.7.1 & 14.15.1 (b)-0.1% of the Contract Price per day and Maximum amount of delay deamages -8.7.1- 10% of the final contract price . Kulingana na kazi ambazo hajafanya anatakiwa kwa siku akatwe Tshs 100 Mil(100,000,000) na kama hatakuwa hajamaliza kazi ndani ya siku 100 anatakiwa awe amekatwa Tshs 10 Bil. (10,000,000,000).

Kumuongezea Muda kijanja Mkandarasi bila Mkandarasi kuomba kuongezewa muda na wala Consultant kupitia nyongeza ya Muda ili Mkandarasi aweze kuongezewa muda wa kukamilisha kazi zake za awali kinyume na mkataba sub- clause 8.2.1 cha kukamilisha kazi ndani ya muda wa Mkataba.

Mkataba wa Addendum kati ya AUWSA na Sinohydro umeisababishia Serikali hasara ya Tshs 26.3 bil na hii bila kuweka gharama za athari za Wanachi kutumia maji ambayo yana fluoride kwa sababu za kuchelewesha mradi. Makubaliano ya aide Memoire- special supervision mission kati 13-17 Juni,2022 yalisema kwamba rejea kipengele 3.24 &25

3.24 Construction of De-Fluoridation system at SeedFarm: The consultant has finalized the preparation of designs and tender documents for the construction of the De-Fluoridation System at SeedFarm. The bidding documents were submitted on 8 February 2022 for Bank’s review and consideration for “no objection”. During the review, the AUWSA came with an option of intending assign the construction work to the contractor (M/S Sinohydro Corporation Ltd) who is on site implementing the contract of the New Water System. The Bank advised the AUWSA to come up with clear justification including work rates and completion time of the proposed option.

3.25 The proposed option was discussed during the mission and agreed that; The AUWSA will prepare the justification together with contractor’s offer and share with the Bank for review and consideration for “no objection” by 24 June 2022. In case the justification won’t be accepted or the contractor on site refuse to accept the additional works, the AUWSA will proceed with the procurement procedures which will shorten the process of engaging a new contractor. The mission agreed that AUWSA will share the bidding documents together with the specific procurement note by 30 June 2022 for the Bank review and consideration for no objection.

Mkurugenzi wa AUWSA hakutaka kufuata hata maelekezo ya AfBD akasaini Addendum bila kupata No Objection ya bank ambavyo yeye mwenyewe alisaini hayo makubaliano. Bank hawajatoa no Objection kwa kuwa rate za BoQ za Addendum zimepanda kwa 82% kutoka kwenye zile rate za awali na Hakuna Engineering Justification.

02- Mkataba wa Ujenzi wa mabwawa ya kutibu majitaka Mkandarasi alitakiwa kufanya marekebisho kipindi cha Defects Liability kama Sub-Clause 11.1 inavyoelekeza, kipindi cha DLP ili kurekebisho Plastic Membrane ambayo yalikuwa yanajaa upepo na kuelea juu ya maji, lakini Mkurugenzi AUWSA alituma Watumishi wa AUWSA kutoboa na kuweka mawe ili kuyakandamiza kuyazuia yasielee. Kazi hii ilitakiwa kufanywa marekebisho na Mkandarasi kwa sababu ilikuwa ndani ya DLP na hata hivyo kutobolewa ni kinyume na Mkataba ila yote haya ni sababu za Mkurugenzi wa AUWSA kuchukua rushwa. Kwa sasa Makaratasi hayo hayana kazi na Serikali imepata hasara zaidi Tshs 2.8 Bil, taarifa hii ni ya kwel, tunaomba Serikali iunde tume na kuwauliza Watumishi wa Kitengo cha Majitaka na hata pia Wananchi wanaoishi karibu na bwawa hili. Serikali kupoteza Tshs 2.8 Bil ni gharama kubwa sana kwa walipa kodi.

03- Mkataba wa AUWSA na Tumaini Engineer Wenye thamani ya Tshs 2.5 Bil kujenga mtandao wa majitaka kutoka A to Z ni Wakifisadi na haukufuata taratibu za manunuzi.

Mfano wa ufisadi kwenye Mkataba unakifungu cha kuchimba na kufukia bomba Tshs 358,500,000 umbali wa kuchimba =8500m maana yake 1m inachimbwa Tshs 42,176 badala ya T.shs 12,000/=

Mkataba kutopitishwa na Bodi ya Zabuni (Tender Board) ya AUWSA kinyume na Sheria ya Manunuzi PPA,2011 section 35(1),(2) & (3)

Zabuni kutofuata Sheria ya Manunuzi (The Public Procurement (Amendment) Regulation,2016- section 91- Method of tendering for Non Consultancy Services.

Tumaini Engineer hadi Mkataba unavunjwa alikuwa tayari kalipwa zaidi Tshs 200,000,000 Mkurugenzi AUWSA na Tumaini Engineer wanatakiwa warudishe hizi Fedha kwa kuwa mkataba ulikuwa batili
 
Unabishana na mkataba Uliosainiwa Kati ya AUWSA na Sinohdro? Soma kwa sauti kubwa… Soma kipengele hiki hapa chini kwa sauti kubwa jirani yako asikie.

Sinohdro anapaswa kuchajiwa Delay Damages kinyume na Sub-Clause 8.7.1 ya Mkataba ambavyo Mkandarasi alitakiwa kukamilisha kazi tarehe 07 Julai,2022 na utekelezaji wa mradi umefikia 78% na Particular Condition ya mkataba sub-clause 8.7.1 & 14.15.1 (b)-0.1% of the Contract Price per day and Maximum amount of delay deamages -8.7.1- 10% of the final contract price . Kulingana na kazi ambazo hajafanya anatakiwa kwa siku akatwe Tshs 100 Mil(100,000,000) na kama hatakuwa hajamaliza kazi ndani ya siku 100 anatakiwa awe amekatwa Tshs 10 Bil. (10,000,000,000).
Hebu rejea ulichokiandika kwenye hoja niliyoichangia uliandika demurrage sio liquidated damages, wewe unacharuka bila kuangalia ulichokiandika wewe mwenyewe. Hii ni sababu ya maeneo haya kwako ni unchartered territories.
 
Huo mkataba unaouzungumzia sijauona wala kuusoma, ila mimi nazungumzia FIDIC ambayo ndio mikataba ya aina hii ipo based on and not PPRA. Mikataba yote inayofuata FIDIC inafanana. Zipo njia zinazokubalika katika FIDIC kumuongezea mkandarasi kazi (Variation) bila kuuvunja mkataba wala kutangazo upya, kunakigezo za je hiyo variation should not exceed certain % of the original contract , inawezekana mkataba unaouzungumzia ulikidhi vigezo hivyo na wewe unashikilia 5millions za PPRA hii ni miradi midogo midogo ya AUWSA. Huu nafikiri in International tendering and cost for the project could be high. Na variation kama unayozungumzia could qualify kumuuongezea bila kutender upya this is according to FIDIC. Kwa hiyo unaweza piga kelele na kuona unaowaeleza hawachukui hatua kumbe wewe ndio upo mislead by your informer na wote kuonekana hamna mashiko na ni kupotezea watu muda.
 
Si

Subiri team za uchunguzi kutoka Taasisi huru ndiyo utajua kuwa haujui..

Kama ni Rahisi hivyo Mbona kazi ya Ujenzi wa vyoo vya Kisasa amkutumia huu mfumo kumpatia Kandarasi Kampuni ya Beijing construction?
 
K

Mpaka hapa Ninakushukuru kwa kukiri kuwa sinohdro kapatiwa zabuni bila kutangazwa…

Sasa tumefika patamu Je procedure za kutoa kandarasi kwa Sinohdro’s zilifuatwa? Auwsa wana Barua ya No Ojection kutoka AFDB? Je ni sahii kumpatia kandarasi mkandarasi aliyeshindwa kumaliza kazi ya Awali? Tzs 100M ambazo sinohdro anapaswa kuilipa AUWSA kila Siku kutokana na kutomaliza kandarasi ya Constrution of New water system outside CDB yenye thamani ya 258 bilion kwa wakati zinaingia kwenye account ya Nani?

Kwanini Gharama za Ujenzi zimeongezeka kutoka 20 bilion hadi 36.3 bilion Sawa na asilimia 80% ? Na je Auwsa amuoni Kama zabuni ingetangazw mngepata Mkandarasi wa behi ya chini?
 
Mbona umeandika ki unprofessional...
Eti "awajaojiwa"...ndo Nini hiki sasa...???

Hahahahaaa... Inawezekana Uko sahihi.. Lakini inaonekana umejaa wivu sana.. Au huo u-MD unautaka mpaka uongee vitu vya hovyo namna hii?
 
Twende kwenye hoja ya Msingi, Hoja ujibiwa kwa hoja..
 
Mbona umeandika ki unprofessional...
Eti "awajaojiwa"...ndo Nini hiki sasa...???

Hahahahaaa... Inawezekana Uko sahihi.. Lakini inaonekana umejaa wivu sana.. Au huo u-MD unautaka mpaka uongee vitu vya hovyo namna hii?
Watu sampuli yako ndiyo huwa Tundu Lisu anawaita mataira.. tunajadili hoja ya ufisadi wa Tzs 36 bilion wewe unakuja na upuuzi .

Reasoning capacity yako ni ndogo imeishia kuona Kuna wivu , Tzs 36 bilion inajenga zahanati ngapi? 36 bilion inajenga madarasa mangapi? Kama kupambana na Ufisadi
Ndiyo niitwe Nina wivu am Ready for that… Ninarudia kwa sauti kubwa I am Ready for that.. Narudia kwa Lugha ya Taifa Kiswahili Nipo tayari kuitwa Nina wivu kwa kupambana na Ufisadi.
 
Si

Subiri team za uchunguzi kutoka Taasisi huru ndiyo utajua kuwa haujui..

Kama ni Rahisi hivyo Mbona kazi ya Ujenzi wa vyoo vya Kisasa amkutumia huu mfumo kumpatia Kandarasi Kampuni ya Beijing construction?
naona unachanganya maharage na maziwa sijui utapata nini, Mradi wa maji nahisi utakuwa ni mkubwa na ni International tendering kwa kutumia FIDIC na maradi wa vyoo ni mdogo sana nahisi walitumia local tendering procedure therefore PPRA methodys. Kwa hiyo tender hizi mbili haziwezi linganishwa kama unavyofanya. Procedure must be different. Nahisi hata wakandarasi wa vyoo wanaweza kuwa local contractors kama sijakosea hebu chunguza. Sheria ni mbili tofauti na hata utawala wake ni tofauti. Mfano mnasema variation ikizidi 5million lazima utende upya (PPRA small teders). FIDIC wao wanasema isizidi 25% of the original contract. Sasa angalia mkataba wa awali wa Mkandrasi wa Mradi wa maji ni shilingi ngapi na 36 million in % ngapi ya original contract? Usitoe mapovu hapa bila kuingia kwenye details.
 
Nimefuatilia mjadala kwa kina sana. 25% ya 20 bilioni ambayo ni original contract ni 5bilions. Naona imefika 36b badala ya 25b. Anyway hayo niachane nayo.

Binafsi naomba kujua hivi utaratibu wa kufunga majitaka kwa mkoa wetu wa Arusha ukoje ??? Shimo langu liko karibu kujaa na sitamani kuingia gharama kuvuta maji walau nijue ni lini wataanza kuunganisha niko Kata ya Olasiti.

Hii miradi kuna namna walioko ofisini wanaifanyia hujuma na ni gharama zinarudi kwa wananchi bila sababu ya msingi.

Hata kama ni kula cha juu sidhani kama ingeliwa bilioni 1 ni shida tatizo percent wanaweka juu wanahujumu hii miradi ya kitaifa.
 
Ninakushukuru kwa kukubali kuwa mkataba umesainiwa bila zabuni kutangazwa

Gharama za Ujenzi zimeongezeka kutoka Tshs 20 bilion hadi 36 bilion

Tunakubaliana Mkandarasi sinohdro hajakamilisha kazi ya Construction of New water system outside CBD wenye thamani ya Tshs 258 bilion, hivyo hana sifa ya kuongezewa kazi kutokana na kutotii Mkataba wa awali.

Tunakubaliana kuanzia Tarehe 7 Julai 2022 Sinohdro’s anapaswa kuilipa AUWSA Tshs 100 Milion kila Siku kutokana na kutokamilisha kazi kwa Siku 100 baada ya hapo Mkataba unavunjwa

Sasa tusubiri Tume huru zije tuone Mimi na wewe nani Hajui sheria za Manunuzi.

PPRA yupo Maswi hana longo longo.
 
Kikao cha Fukuza Fukuza… Hamisha
Hamisha kinaendelea Mida hii Board room AUWSA,

Majina ya watumishi wa kufukuzwa
mtuhumiwa No 1 wa Ufisadi Eng Rujomba katoka nayo Dodoma ,

Viongozi wa TUICo Mwenyekiti na katibu hongereni sana kwa kugoma kuingia kikao cha Kuchinja Watumishi Waaminifu..Solidarity Forever… Solidarity Forever..! AUWSA inachanika Kama Kanga!

Waziri tulikupatia taadhari haukutaka kusikia sasa Mgogoro umekuwa Mkubwa umeingia kwenye Vyama vya Wafanyakazi.

Leo ni kuimba tuu .. Solidarity Forever… Solodarity Forever…!
 
Nimefuatilia mjadala kwa kina sana. 25% ya 20 bilioni ambayo ni original contract ni 5bilions. Naona imefika 36b badala ya 25b. Anyway hayo niachane nayo.

Binafsi naomba kujua hivi utaratibu wa kufunga majitaka kwa mkoa wetu wa Arusha ukoje ??? Shimo langu liko karibu kujaa na sitamani kuingia gharama kuvuta maji walau nijue ni lini wataanza kuunganisha niko Kata ya Olasiti.

Hii miradi kuna namna walioko ofisini wanaifanyia hujuma na ni gharama zinarudi kwa wananchi bila sababu ya msingi.

Hata kama ni kula cha juu sidhani kama ingeliwa bilioni 1 ni shida tatizo percent wanaweka juu wanahujumu hii miradi ya kitaifa.
Sidhani the main contract was not that little money sio 20b, kutokana na wao wanachokisema wanasema 256 billion haya calculate utapata 14%. Ila huwezi kusema kwa uhalisia kwani hatuna data za ukweli nadhani hata wao nadhani hawana. Tuone litafikia wapi, hata Serikali ina macho na wataalam wakutosha kuchambua ukweli na uhalisia, mimi nilikuwa najaribu kuelimisha juu ya tender hizi zinazofuata FIDIC na PPRA. Tatizo kubwa ni uelewa tuu.
 
Back
Top Bottom