DOKEZO Mkurugenzi wa AUWSA asaini Mkataba wa kifisadi wa TZS 36.3 Bilion na Mchina bila Ridhaa ya Bodi ya Ununuzi ya AUWSA na wafadhili AfDB

DOKEZO Mkurugenzi wa AUWSA asaini Mkataba wa kifisadi wa TZS 36.3 Bilion na Mchina bila Ridhaa ya Bodi ya Ununuzi ya AUWSA na wafadhili AfDB

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkuu wa Idara ya PMU Kondela anastaafu mwezi wa Saba 2023 ,ili kuendeleza Ufisadi anayechukua nafasi yake anatoka Mamlaka ya Majisafi Morogoro ( Moruwasa) wakati AUWSA kuna Vijana wenye Sifa za Kuwa HMPU

Huu ni uthibitisho tosha mtandao wa Ufisadi Uliopo AUWSA ni wa Waziri Aweso ,Katibu Mkuu Sanga na MD Rujomba,

Mwenye Mamlaka ya kuamisha mtumishi kutoka Mamlaka moja kwenda nyingine ni Waziri na katibu Mkuu… Wanajua watumishi waliopo AUWSA Wenye sifa za kukaimu Nafasi ya HPMU kisura , Steve na Sigori wana misimamo thabiti awawezi kukubaliana na Ufisadi wa Kijinga .
 
Back
Top Bottom