Mkurugenzi wa Dar24 Media Maclean Mwaijonga apotea, hajulikani alipo

Endapo kama kweli ni mmiliki wa chombo cha Habari au alikuwa anafanya kazi zinazohusiana na masuala ya Habari, hapana shaka kwamba mtu huyo alikuwa targeted na 'wale jamaa.'
Mimi binafsi nimekuwa nikieleza kwa undani Sana kwenye mtandao huu kuhusu suala hili la Waandishi wa Habari kulengwa Sana na 'wale jamaa' na hatua madhubuti ambazo wahusika wanapaswa kuzichukua katika kujihami kwenye suala hili. Wakati alipifariki Mwandishi wa Habari aitwaye Gardner Habash pia nilieleza hapa, lakini watu hao inavyoonekana wengi wao hawako 'serious aware' kuhusiana na Mazingira hatarishi yanayoambatana na kazi zao.

Kwa kifupi Waandishi wa Habari tambueni kwamba huko kwenye tasnia yenu ya Habari mmepandikiziwa Mamluki wengi Sana ('the snakes in suits') ambao kazi yao kubwa ni kuwa-monitor wale Waandishi wa Habari machachari, wao wenyewe wanawaita kwa jina la "Waandishi wa Habari 'viherehere' .
 
Mkuu fuatilia vizuri Datavision ukitoa Dar24 ni kampuni kubwa sana nakumbuka ukiondoa transactions, walikua wana contract ya ku maintain database ya kampuni za private security chini ya Jeshi la polisi, lakini pia kama sijakosea anamiliki pia kampuni ya kopa fasta inatoa mikopo online kwa selected companies ...watu wana michongo mjini hawana hata muda wa vijembe JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…