Mkurugenzi wa Dar24 Media Maclean Mwaijonga apotea, hajulikani alipo

Wakuu,

Media ya Dar24 kupitia ukurasa wake wa Insta wameweka tangazo la kupotelewa na Mkugenzi wao ambaye amatoweka toka tar 31/10/2024.

Wasiyojulikana wameamka tena?!

==

Dar24 Media inautaarifu umma kupotea kwa Mkurugenzi wake Maclean Mwaijonga.

Mara ya mwisho kuonekana ni wakati akitoka ofisini majira ya saa 11 jioni ya Tarehe 31. 10. 2024 DATAVISION INTERNATIONAL LTD Mikocheni karibu na Rose Garden.

Mkurugenzi wetu ambaye pia ni Mtendaji wa DataVision hana kawaida ya kutorudi nyumbani lakini mpaka sasa hapatikani.

Wakati akitoka Ofisini alikuwa na gari aina ya Toyota Prado nyeusi yenye namba za usajili T 645 DEE.

Tunaomba msaada wa Vyombo vinavyohusika na Wanahabari kwa pamoja zitusaidie kupaza sauti ili kumpata Kiongozi wetu na utakapomuona yeye au gari yake tupe taarifa kwa namba hii 0713249003
Hii hatari sana
 
Isije ikawa ndiyo ntoleee
Maana kuna wengine wakichukuliwa hawarudigi

Ova
 
Wakuu,

Media ya Dar24 kupitia ukurasa wake wa Insta wameweka tangazo la kupotelewa na Mkugenzi wao ambaye amatoweka toka tar 31/10/2024.

Wasiyojulikana wameamka tena?!

==

Dar24 Media inautaarifu umma kupotea kwa Mkurugenzi wake Maclean Mwaijonga.

Mara ya mwisho kuonekana ni wakati akitoka ofisini majira ya saa 11 jioni ya Tarehe 31. 10. 2024 DATAVISION INTERNATIONAL LTD Mikocheni karibu na Rose Garden.

Mkurugenzi wetu ambaye pia ni Mtendaji wa DataVision hana kawaida ya kutorudi nyumbani lakini mpaka sasa hapatikani.

Wakati akitoka Ofisini alikuwa na gari aina ya Toyota Prado nyeusi yenye namba za usajili T 645 DEE.

Tunaomba msaada wa Vyombo vinavyohusika na Wanahabari kwa pamoja zitusaidie kupaza sauti ili kumpata Kiongozi wetu na utakapomuona yeye au gari yake tupe taarifa kwa namba hii 0713249003
N
 
Kuitwa Mkurugenzi imekua jambo rahisi sana!

Btw, sio kila anaepotea anapotezwa na system...
Nani kasema kila anayepotea anapotezwa na system? Mbona unatunga? BTW hata watu waki-assume hivyo ni sawa kwa sababu hiyo ''system ndiyo imekaribisha hili. Ndiyo maana watu wanataka vyombo vya usalama vifanye kazi kwa kuzingatia sheria.
 
Mbona taarifa ya habari wamesema kapatikana kigamboni huko,
 
Back
Top Bottom