Mkurugenzi wa FBI atangaza kuanza kushughulika na Wachina na ushawashi wao Marekani

Mkurugenzi wa FBI atangaza kuanza kushughulika na Wachina na ushawashi wao Marekani

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Adai ushawashi wao Marekani umekuwa na uharibifu kwa miaka mingi, ataanza na wale wanaomiliki mashamba na sekta ya chakula.
Screenshot_20250408-230144_X.jpg
 
Adai ushawashi wao Marekani umekuwa na uharibifu kwa miaka mingi, ataanza na wale wanaomiliki mashamba na sekta ya chakula.
View attachment 3297269
Nikuulize swali moja.

Nani anamtawala mwenzake Israel ana mtawala marekani au marekani ana mtawala Israel ?
 
Nikuulize swali moja.

Nani anamtawala mwenzake Israel ana mtawala marekani au marekani ana mtawala Israel ?
Marekani ni Israel mbona iko wazi

Yaani ukimpiga mtoto anayeangalia maslahi ya Baba, Baba anakuja mbio mbio kumsaidia mtoto wake

USA BABA
ISRAEL MWANA
 
US ni kuku iliyokatwa kichwa, sasa inatapa huku na kule baada ya muda inakata roho.
 
USA wako makini sana kwenye mali zao

Ardhi inayomilikiwa na makampuni ya China pamoja na nchi nyinginezo ni ndogo ila hilo swala linavyotolewa macho sasa
 
Hii ni vita ya wahindi wenye huyo bosi wa FBI na wachina

India na China hawaivi chungu kimoja
Patel anafanya kazi kama sehemu ya sera za Marekani za kupambana na ushawishi wa China, ambayo ni suala la usalama wa taifa, si mjadala wa kikabila au kiutamaduni.
 
Ni ukweli mchungu ambao inabidi kuukubali hata kama unachoma.
Miaka ya dollar kuwa reserve currency imepita...
Dunia kuongozwa na superpower mmoja imepita pia..
Umevimbiwa viazi na maharage uliokula jana usiku hadi umechelewa swala ya kwanza..!!😛😛
 
Anayewajua wachina Wala hashangai,Mchina unayemuona TZ anauza mpaka machinga huku akiiba nyara za serikali na kuweka viwanda bubu/uchwara ndo huyo huyo yupo USA, Europe n.k
In short walikua wanafumbiwa macho for what they said FREE MARKET,ila ni wahuni sana japo si wote ila 50% wahuni
 
Back
Top Bottom