Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
WameanzaNi msiba mzito
Ni huzuni na majonzi makubwa
Mfanyabiashara mkubwa na Mwanaharakati maarufu ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hoteli ya Golden Rose iliyopo Jijini Arusha amefariki dunia
Taarifa zaidi kutolewa
MCL
Wakina nani ?Wameanza
Si hao wanaoamulia watu wa kuishi 😞Wakina nani ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Matajiri tutapukutika sasa .
Mzingo wa India ni msala unakula hadi watoto wadogo... Serikali ipige kwanza ban flight zote zinazo toka huko AsiaNafikiri cha India kimeingia. Hata watu wa kuumwa makoo wameongezeka sana.
Ahh hii virus ya india mpaka watoto inawapataMzingo wa India ni msala unakula hadi watoto wadogo... Serikali ipige kwanza ban flight zote zinazo toka huko Asia