TANZIA Mkurugenzi wa Golden Rose jijini Arusha Afariki Dunia

TANZIA Mkurugenzi wa Golden Rose jijini Arusha Afariki Dunia

Ni msiba mzito
Ni huzuni na majonzi makubwa

Mfanyabiashara mkubwa na Mwanaharakati maarufu ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hoteli ya Golden Rose iliyopo Jijini Arusha amefariki dunia

Taarifa zaidi kutolewa

MCL
 
Back
Top Bottom