TANZIA Mkurugenzi wa Golden Rose jijini Arusha Afariki Dunia

Ni msiba mzito
Ni huzuni na majonzi makubwa

Mfanyabiashara mkubwa na Mwanaharakati maarufu ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hoteli ya Golden Rose iliyopo Jijini Arusha amefariki dunia

Taarifa zaidi kutolewa

MCL
Ni COVID phase three. Lazima Samia achukue hatua la sivyo bendera kupepea nusu mlingoti tena. Hivi vifo ninavyoshuhudia kwa wiki sasa si vya kawaida!
 
My condolences are with them this period of grievance.
 
Golden Rose. My first hotel to stay out of Dar in my carrier aisee
 
Ni msiba mzito
Ni huzuni na majonzi makubwa

Mfanyabiashara mkubwa na Mwanaharakati maarufu ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hoteli ya Golden Rose iliyopo Jijini Arusha amefariki dunia

Taarifa zaidi kutolewa

MCL
Usitoa uzi uka assume wote tunamjua.. mtaje
 
Wanafiki wanasingizia virusi vya india
 
Ni msiba mzito
Ni huzuni na majonzi makubwa

Mfanyabiashara mkubwa na Mwanaharakati maarufu ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hoteli ya Golden Rose iliyopo Jijini Arusha amefariki dunia

Taarifa zaidi kutolewa

MCL
Na huyo mzee Maeda aliyelizwa m.100 na mapolisi tapeli ni nani yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…