Covid 19 wimbi la tatu inatulia timing kiaina, tuchukue hatua hizi Madaktari bingwa wa magonjwa ya mfumo wa upumuaji wamesema kirusi cha wimbi la tatu la Covid 19 kimekuja na dalili za kistaarabu fulani,lakini huku kinatuumiza. Yaani kwa maneno mengine ni kama kinatulia timing hivi,kwa mbinu...