Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime adaiwa kubaka na kumlawiti binti wa miaka 16

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime adaiwa kubaka na kumlawiti binti wa miaka 16

Serikali inaajiri underage??
Binti anakutana na babake chumba cha Guest??
Aisee, kisha kuna uzi humu jamaa anauliza kwanini serikalini hukuti watoto wa International School??

Hizi akili za majungu na kujikomba na uzabizabina, kizindaki zipo huko kwa wafanyakazi wa halmashauri...

Everyday is Saturday.......................... 😎
 
Is this real Ila binti sio wa miaka 16
IMG-20200529-WA0001.jpg
 
Is this real Ila binti sio wa miaka 16View attachment 1462276
Mkuu binti siyo 16 ni above 18, anaingiaje Guest??
Labda binti iwe ana matatizo ya akili.
Huyo binti kapangwa na wapinzani wa huyo mkurugenzi..
Binti hana mawasiliano binafsi na babake mpaka apitie kwa mtu mnene kama mkurugenzi??

Kuna mengi ya kujiuliza??

Everyday is Saturday........................... 😎
 
tetesi huwa zingine ni za kweli, hivi Polisi hawajamdaka tu? au hata kumhoji tu!! Mtoa mada wewe si masiya kwanini usiweke jina la guest house polisi waanzie hapo? sidhani kama Mkulu anafuga watendaji dizaini hii!weka mafaili yote mezani si unataka haki ionekane imetendeka?
yani uko nyuma ya keyboard kwenye giza totoro ila bado unamuogopa mkurugenzi, si ndio nyie mlimuogopa mchonga wakati ukipiga kura ya sura yake na jiwe unasema hapa nikipigia kura jiwe nimekwisha, nitadakwa!!
 
Majungu majungu, mleta maada unaleta uzushi. Kwa Tanzania ilivyo sasa hakuna kiumbe mwenye kuweza kufanya huo ujinga akijua kabisa ataozea jela. Pia huwezi kuwahonga waandishi wa habari wote. Labda semeni kama kuna issue nyingine labda mnaogopa uchaguzi.
 
Si habari za kupuuza! Uchunguzi ufanyike na muhusika afikishwe panapostahiri.
 
Sasa jamaa kama ameweza kuhonga milioni mbili mbili si angetumia hizo pesa kupata PISI kali Shombe Shombe ya Kusuzia RUNGU?
 
Kweli kabisa ninavyoiona hii information imekaa kiupambe zaidi binti wa miaka 16 sio kweli na binti wa miaka 16 hawezi kuajiriwa serikalini. Taarifa yenyewe inaonekana imetengenezwa tuu.. kuna kuchafuana kwingi
Mkuu binti siyo 16 ni above 18, anaingiaje Guest??
Labda binti iwe ana matatizo ya akili.
Huyo binti kapangwa na wapinzani wa huyo mkurugenzi..
Binti hana mawasiliano binafsi na babake mpaka apitie kwa mtu mnene kama mkurugenzi??

Kuna mengi ya kujiuliza??

Everyday is Saturday........................... 😎
 
Hii taarifa nahisi ni majungu,, tupe source ya taarifa hii tuifanyie kazi au nenda katoe taarifa hii polisi
 
Back
Top Bottom