Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Jul 28, 2018 #41 Mkurugenzi Akili zimemrudia
Job K JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 9,314 Reaction score 7,149 Jul 28, 2018 #42 Copenhagen DN said: dogo acha kiherehere fanya kazi Click to expand... Mkuu Copenhagen DN nitake radhi aisee! Mimi siyo dogo kama unavyofikria.. Tujitahidi kuwarekebisha vijana wetu na Kiswahili chao cha ovyo ovyo!
Copenhagen DN said: dogo acha kiherehere fanya kazi Click to expand... Mkuu Copenhagen DN nitake radhi aisee! Mimi siyo dogo kama unavyofikria.. Tujitahidi kuwarekebisha vijana wetu na Kiswahili chao cha ovyo ovyo!
Mr. Mwalu JF-Expert Member Joined Feb 4, 2010 Posts 1,057 Reaction score 562 Jul 28, 2018 #43 DR. MWAKABANJE said: Inasemekana jamaa anakampuni yake ambayo amekuwa akiisimamia kabla hata ya uteuzi, inasemekana vilevile kuwa amekuwa akisiitikia uteuzi kwani anaona bora angeendelea na biashara zake, pengine hiyo ndo sababu Click to expand... Yupi ndio yule aliyetajwa na mh lukuvi kwenye mambo ya kupima Ardhi?
DR. MWAKABANJE said: Inasemekana jamaa anakampuni yake ambayo amekuwa akiisimamia kabla hata ya uteuzi, inasemekana vilevile kuwa amekuwa akisiitikia uteuzi kwani anaona bora angeendelea na biashara zake, pengine hiyo ndo sababu Click to expand... Yupi ndio yule aliyetajwa na mh lukuvi kwenye mambo ya kupima Ardhi?
L Latoya JF-Expert Member Joined Apr 18, 2013 Posts 660 Reaction score 457 Jul 28, 2018 #44 Ni kweli jamaa kasema Alichemka sana kurudi serikalini Walikuwa wanamtafuta kitambo Akatupiwa chambo kanasa pole le big boss We mpambanaji utarudi tu kwenye form
Ni kweli jamaa kasema Alichemka sana kurudi serikalini Walikuwa wanamtafuta kitambo Akatupiwa chambo kanasa pole le big boss We mpambanaji utarudi tu kwenye form
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Jul 28, 2018 #45 Aisee.....amekimbia baridi?
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 Jul 28, 2018 #46 Heshima kwako mkuu Angalia tena badala ya kuandika hovyohovyo umeandika ovyoovyo.