Tetesi: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga inasemekana amejiuzulu

Tetesi: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga inasemekana amejiuzulu

Inasemekana jamaa anakampuni yake ambayo amekuwa akiisimamia kabla hata ya uteuzi, inasemekana vilevile kuwa amekuwa akisiitikia uteuzi kwani anaona bora angeendelea na biashara zake, pengine hiyo ndo sababu
Yupi ndio yule aliyetajwa na mh lukuvi kwenye mambo ya kupima Ardhi?
 
Ni kweli jamaa kasema
Alichemka sana kurudi serikalini
Walikuwa wanamtafuta kitambo
Akatupiwa chambo kanasa

pole le big boss
We mpambanaji utarudi tu kwenye form
 
Heshima kwako mkuu

Angalia tena badala ya kuandika hovyohovyo umeandika ovyoovyo.
 
Back
Top Bottom