ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mwisho wa Sauli.Pole ya wafiwa na wapambanaji wa Mbeya.Tumepokea taarifa ya ajali ya gari ndogo ambapo mmiliki wa Mabasi ya kampuni ya Sauli Luxury Solomoni Mwalabhila amefariki dunia kwenye ajali hiyo. Tunatoa pole sana kwa Kampuni ya Sauli Luxury.
Taarifa zaidi kufuata
Hiyo ni kadari ya Allah kupitia huo mkono wa mtu unao sema.Mkono wa mtu huo! Siamini kuwa ni ajali ya kawaida, planed one?Poleni sana watanzania
Okee okeeMkono wa mtu huo! Siamini kuwa ni ajali ya kawaida, planed one?Poleni sana watanzania
Hivi kwanini matajiri wanavaaga simple tuu
Kina cho umiza ni kujinyima na kupambana mtaji ukue kwa matumaini kwamba uzeeni wako miaka 70 untaenjoy faida ya jasho lako only to die at 50yrs duhBahati mbaya sana.
Going very young.
Rest Easy.
Tumepokea taarifa ya ajali ya gari ndogo ambapo mmiliki wa Mabasi ya kampuni ya Sauli Luxury Solomoni Mwalabhila amefariki dunia kwenye ajali hiyo. Tunatoa pole sana kwa Kampuni ya Sauli Luxury.
Ajari ya barabarani imeondoka na roho ya mmiliki wa mabasi ya Sauli Luxury siyo mbali sana na ilipopata ajari basi yake mapema mwaka huu Kibaha na kuwaka moto na yeye pia mmiliki ajari imemwondoa maeneo ya Mlandizi leo hii asubuhi akiwa na gari binafsi
Atakumbukwa kwa kuleta upinzani wa huduma na kufikisha abiria kwa haraka kampuni zake kwa wasafri wa nyanda za juu kusini.
Hasa kwa sisi wanazi wa Scania tutamkumbuka sana mwamba kwa kuziheshimisha Scania road.
Rest in peace Mwilabila Sauli
They have nothing to prove.Hivi kwanini matajiri wanavaaga simple tuu
Cc Nangu NyauWenye vyao wame chukua bus zao sasa wame rudia mtu wao